Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mkuu nina ombi kwako, tufungulie hii story ya Lisa tuimalizie hapa halafu zile story zingine tutazinunua huko telegram.Namba zangu za mawasiliano ni 0786 14 67 04 na 0628 02 04 21 kwa anayetaka mwendelezo wa stori hii na nyngine nyingi za kuvutia
Ni ombi tu Ngosha tumeanza nayo vizuri na najua kupitia story hiyo zile story zingine tutazinunua pasipo kusubiri zipostiwe jf, fikiria hili ombi Ngosha