Simulizi: Mimi na Mimi

Ooh jamani ndugu zangu, sijawasahau. But bear with me, naukamilisha msimu pili but it will take time. Inachukua mda kupangilia kila kitu kiwe in order so mtanivumilia. Lakini haitakawia mno. Tuko pamoja
Nikutakie usiku mwema nakuombea kwa mola janga lolote lisikukute katika kuandaa simulizi yako. Akuepushe na matumizi ya vileo ili akuongezee umakini katika utunzi wako tuseme🤔 alhamdulillah.
 
Niko hapa nasubiri kuona kama JC atamkula miryam aiseee  JC ananivutia mno kiasi nami nitaanza jiita jc kabisa nimeipenda character yake kasoro ulaji sana wa k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…