THE JAGGERS
JF-Expert Member
- Apr 3, 2023
- 545
- 410
Nikutakie usiku mwema nakuombea kwa mola janga lolote lisikukute katika kuandaa simulizi yako. Akuepushe na matumizi ya vileo ili akuongezee umakini katika utunzi wako tuseme🤔 alhamdulillah.Ooh jamani ndugu zangu, sijawasahau. But bear with me, naukamilisha msimu pili but it will take time. Inachukua mda kupangilia kila kitu kiwe in order so mtanivumilia. Lakini haitakawia mno. Tuko pamoja