Simulizi: Mimi na Mimi

Simulizi: Mimi na Mimi

Ooh jamani ndugu zangu, sijawasahau. But bear with me, naukamilisha msimu pili but it will take time. Inachukua mda kupangilia kila kitu kiwe in order so mtanivumilia. Lakini haitakawia mno. Tuko pamoja
Nikutakie usiku mwema nakuombea kwa mola janga lolote lisikukute katika kuandaa simulizi yako. Akuepushe na matumizi ya vileo ili akuongezee umakini katika utunzi wako tuseme🤔 alhamdulillah.
 
Back
Top Bottom