MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA SITA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Baada ya kupeana busu tamu sana na Miryam, nikajisogeza pembeni kiasi na kuuvuta mwili wake pia unikaribie, tukiwa tumeiepuka sehemu ya shuka iliyolowanishwa kiasi na juisi-utamu zake, na sasa nikawa nimelalia ubavu huku nikiegamia kiwiko kimoja, nikimtazama yeye alipokuwa amelalia mgongo wake huku mguu wake mmoja akiulaza kwa kuupigisha nne juu ya mwingine, na akinitazama usoni kwa macho yenye upendo.
Nikamwambia, "Yaani Miryam... we' ni mwanamke mzuri sana."
"Naambiwa hivyo na wengi," akasema hivyo huku akitazama pembeni.
Nikaushika uso wake na kuutazamisha kwangu, nami nikamwambia, "Simaanishi uzuri wa sura tu. Sijawahi... kukutana na mwanamke kama wewe. Kila kitu kukuhusu yaani kinanifanya nahisi raha, na tena leo umenipa hili tunda... yaani siwezi hata kukuelezea ni namna gani hiyo raha imekuwa kubwa sana."
Akanishika shavuni huku akinitazama kwa hisia pia na kusema, "Najua. Naelewa pia kwa mambo mengi me ni mgumu mno, lakini... wewe ndiyo mtu uliyekuja kwenye maisha yangu na kunifanya nilainike tena Jayden. Nathamini sana kwamba uko nami. Sema... sometimes nakuwa nahofia tu kwamba...."
"Kwamba nitakuacha? Wewe Miryam ni wa kuachwa kweli?" nikamuuliza.
"Kwamba utanichoka, hasa kama hivi tukisha-share mapenzi mara nyingi... halafu na mimi nitakuwa nimeshakuzoea sana kiasi kwamba sitaweza kukuachia..." akasema hivyo.
"Mimi..." nikamwita kwa sauti ya kubembeleza.
"Yeah, najua, najua Jayden kwamba unanipenda. Lakini kuwaza tu kwamba haitakuwa kama hivi sikuzote, ipo... hilo unapaswa utambue. Nimeshakupa yote nayoweza kwa sababu moyo wangu umefunguka kwako. Ila ikitokea tukaachana... moyo wangu utafunga. Na itakuwa milele," akasema hivyo.
Nikatabasamu kiasi na kusema, "Kumbe unanipenda sana?"
Akafumba macho na kusema, "Kuliko unavyojua."
"Sa' mbona ulikuwa unanibania hii tamu?" nikamuuliza.
"Ahah... we' ni mjinga. Kwa hiyo ni mpaka upewe ndiyo itamaanisha mtu anakupenda, eh?"
"No, acha ku-twist mambo. Najua unaelewa hili ni jambo la kawaida kwenye mapenzi, Mimi wangu. Lakini wewe... sidhani ikiwa ishu ilikuwa tu kwa sababu unaogopa kuachana ama nini... ama labda kusubiri wakati mwafaka. Hakuna kitu kama mimi kuja kuachana na wewe. Hakipo... yaani labda nife. Niambie tu ukweli," nikamwambia hivyo kwa ushawishi.
Akawa ananiangalia kwa utulivu, kisha akasema, "Okay. Sawa, umeshinda. Kwa hii ishu... nilikuwa tu naogopa."
"Nini? Yale yale ya ukifanya utaachwa, au?"
"Hapana. Moyo wangu unaniambia kwamba unanipenda sana, kwa hiyo hata itokee tukaja kuachana, haitakuwa kwa sababu hii. Nilikuwa tu naogopa... tendo lenyewe. Ni muda mrefu kama unavyojua. Sikujiona kuwa tayari, na... sijui tu hata nielezeeje, yaani... ulikuwa wasiwasi," akasema hivyo.
"And now? Huo wasiwasi umepungua baada ya kuurudia utamu, eti?" nikamwambia hivyo.
"Ahah... kichwa chako..." akausukuma uso wangu kidogo.
Nilikuwa nimeegamia kiwiko changu bado, nami nikamshika shingoni na kumwambia, "Usiwe na hofu mpenzi wangu. Nimeshushwa kutoka juu ili kuja kuwa furaha yako. Haijalishi tumepita wapi wala tutapitia nini, siwezi kufikiria kukuacha. Nakupenda Mimi kwa sababu... nakwambia mara nyingi, yaani kila kitu kuhusu wewe kimenifanya nijione kuwa mtu bora zaidi. Na tena siyo kujiona, yaani... nimekuwa mtu bora kwa sababu nimekujua wewe, na nitajitoa kwa vyovyote, na lolote, na chochote, na zozote, na byobyote, na fofote, na dodote...."
Miryam akaanza kucheka na kusema, "Na jojote..."
"Yes! Na nonote, mpaka mbombote!" nikasema hivyo.
"Ahahahah... we' ni mjinga," akasema hivyo na kunipiga kidogo kifuani.
"Ahahah... namaanisha nitafika popote katika kujitoa kwako ili kukuonyesha navyokupenda. Nitahakikisha nafanya kila kitu kukuonyesha thamani uliyonayo kwangu, Mimi. Huu... huu ni mwanzo tu. Nataka kufanya vitendo kuthibitisha maneno yote nitakayotoa kama ahadi kwako, uhisi ni namna gani ulivyonifanya kuwa mwanaume mwenye furaha ya kweli. Mpaka ifike siku ambayo nitaingia kaburini, sitaacha kukupenda wewe mwanamke. Kifo tu ndiyo itakuwa mwisho," nikamwambia hivyo kwa hisia.
Akawa ananiangalia machoni kwa upendo mwingi mpaka machozi yakawa karibu kumtoka, naye akanishika usoni tena na kusema, "Nakupenda sana Jayden."
"Nakupenda pia Miryam," nikamwambia kwa hisia.
Kisha nikaufata mdomo wake, nasi tukapeana denda iliyojaa hisia tamu za mahaba ya kutoka moyoni. Kitu changu kikapanda. Nadhani akawa amehisi hilo baada ya mashine yangu kumgusa, naye akaikatisha denda yetu taratibu na kuitazama, kisha akaniangalia machoni kwa hisia. Niliona kama hamu ilikuwa imeanza kumpanda tena.
Nikajilamba midomo huku nikimwangalia kwa hamu pia, nami nikamshika kalioni, halafu kwa sauti ya kunong'oneza nikamuuliza, "May I?"
Akiwa ananiangalia kwa macho yenye hamu, akatikisa kichwa kukubali. Ruksa kwa raundi ya pili hiyo!
Akajilegeza kiasi huku akiweka egemio kwa viwiko vyake kitandani, nami nikashuka taratibu kwa mdomo wangu nikibusu kifua chake mpaka nilipofikia mapacha yake mazuri sana na kuanza kuyashambulia kwa ulimi na hata meno. Nilikuwa namwangalia tu usoni na kuona jinsi ambavyo alinitazama kwa kukunja sura, pumzi zake zikipanda zaidi lakini hakuguna kwa sauti, ndiyo nikaamua kushuka chini zaidi. Yaani chombo yangu ilikuwa kwa hewa kwa uwezo wote wa nguvu zangu, ikisimama kwa utayari wa hali ya juu kumvamia kwa kasi, lakini hii huduma ya taratibu kumpatia mwanamke huyu ilikuwa muhimu kwanza.
Kwa kuwa mwili wake laini ulikuwa wazi bila nguo yoyote, ilinirahisishia kazi nilipoanza kuyapapasa mapaja yake na kumnyonya tumboni mpaka kibofuni, halafu nikaligeuza paja lake moja ili kwanza nilinyonye na kuling'atang'ata kalio lake jeupeeh. Lilikuwa nono, tamu kinoma yaani nikisema kulinyonya nilikuwa nalinyonya hasa, naling'ata na kulipiga makofi laini, kisha ndiyo nikalishika paja lake laini na kulivuta kutoka juu ya mguu wake mwingine, nikimtanua yaani. Alikuwa ameniachia uwanja zamu hii nitawale vilivyo, yaani alikuwa tayari na hamu yake ilionekana wazi, kwa hiyo nisingemvunja moyo.
Baada ya "kuufungua" mguu wake, nikayatanua mapaja yake zaidi na kukisogelea kitoweo chake safi na kilichokuwa kimelowa tena, huku yeye akiwa ameegamia viwiko vyake bado na akinitazama kwa utayari, nami nikazamisha ulimi ndani. Hapo sasa ndiyo miguno ya chini yenye deko ikaanza kumtoka, maana nilikuwa nainyonya hiyo kitu kama vile sikuwa nimekula mwezi mzima. Niliinyonya kwa hamu kubwa, naye akawa anazungusha kiuno chake usoni kwangu taratibu huku akijishika kwenye matiti yake.
Nikaamua kuishusha miguu yangu chini ya kitanda na kumvuta ili kalio lake liwe kwa karibu na mdomo wangu hapo mwanzoni, na nikiwa nimepiga magoti nikaendelea kufanya ibada tamu ya kutafuna uanamke wake lainiii, na yeye akiwa ameshapagawa haswa akawa akiweweseka kila mara na kuzishika nywele za kichwa changu.
Miryam alikuwa na hii tabia ya kupenda kuzishika nywele za kichwa changu na kuzing'ang'ania kwa nguvu nilipokuwa nikimnyonya namna hiyo, akizivuta utafikiri anataka kuzinyofoa. Mwanzoni ningehisi maumivu, lakini kadiri nilivyoendelea kumwachia azikaze namna hiyo hiyo, ningeweza kuhisi raha fulani ndani ya hayo maumivu, kwa hiyo ni kitu kilichokuwa kimeanza kunipagawisha hata zaidi. Nikaendelea kumnyonya tu huku nikiyapiga mapaja yake makofi laini, naye akawa akishtuka na kuendelea kuguna kwa raha.
Ikafikia hatua akakisukuma kichwa changu kwa kilichoonekana kuwa kuzidiwa, nami ndiyo nikamwacha na kusimama kabisa. Nikawa namwangalia tu huku mashine yangu ikiwa imesimama kwenda mbele, nikiitikisa kimakusudi huku nampa lile jicho la kiutongozi fulani hivi, naye akatabasamu kiasi na kung'ata mdomo wake wa chini. Nikajipeleka kitandani tena, nikija juu ya mwili wake na kufanya kama nimeulalia, uso ukiwa karibu kabisa na wake, naye akaiweka mikono yake mabegani kwangu na kukishika kichwa changu kama ananikumbatia.
Nikaitoa ile kofia yake ya kuficha nywele na kuitupa pembeni, na nywele zake bado zilikuwa laini mno kutokana na ulowani wa maji, ila zilimfanya aonekane kuwa moto vibaya mno. Hivyo kulowana yaani, nilipenda sana. Tukaanza kupiga denda laini kwa mara nyingine tena. Miguu yangu bado ilikuwa chini, na mashine yangu ililalia kibofu mpaka usawa wa tumbo lake, hivyo nikawa naisugusha hapo taratibu huku nikiendelea kumdenda bibie. Kisha nikajitoa mdomoni mwake na kunyanyua kiuno changu juu kiasi ili aione mashine, naye akapitisha mkono wake katikati na kuishika, akianza kuichua taratibu kwa vidole vyake laini.
Kisha akaanza kuisugulia mashine yangu juu ya kitoweo chake huku akiniangalia kilegevu sana, na akikatika taratibu. Nikawa nimemwacha tu afanye alichojisikia kutokea hapo, na nafikiri alikuwa analainisha mambo zaidi ili msuguano ukianza michubuko isitokee. Kitoweo chake kilikuwa kinatoa ute laini na mwingi sana, kwa hiyo mashine yangu ililainishwa vyema bila hata kunyonywa. Alipoona imetosha, akaanza kujiingizia mtambo yeye mwenyewe, na mimi nikawa namtazama tu ili anipe ishara. Akanitikisia kichwa kuwa niendelee kuingia, nami nikawa naishusha taratibu na kuipandisha tena, kitu fulani ambacho kilifanya miguno na pumzi laini za kimahaba zimtoke mdomoni.
Nikaanza kumsugua taratibu bila kuzamisha yote, naye akaanzisha zile sura za manung'uniko ya kimahaba na kuivuta-vuta midomo yake ya chini kila mara. Nikaendelea kula taratibu tu na kuyanyonya matiti yake kwa zamu, na alipotaka utamu ukolee, akaivuta shingo yangu kumwelekea, nami nikatuliza mdomo wangu kwenye shingo yake na kuendelea kumkuna. Sasa ndiyo nikaanza kumtandika kwa njonjo zaidi. Nilifanya hadi kupitisha mkono mmoja chini ya paja lake na kumfanya anyanyue mguu hewani, na katika kuhisi utamu hata zaidi akainyanyua yote.
Piga, piga, piga, piga, sauti yake ikaanza kusikika zaidi, na mara nyingine angenisukuma kidogo ili nipunguze spidi, kisha mchezo ungeendelea. Nikajinyanyua kwa kushikisha mikono yangu kitandani, kichwa chake kikiwa katikati ya mikono yangu, nami nikaendelea kumtandika penzi la maana kwa kupeleka kiuno mbele nyuma bila kuacha. Macho yake yalikuwa yamelegea sana, na shukrani kwa kiyoyozi kuzunguka juu sikuwa nikidondosha jasho sana japo joto lilikuwa juu mwilini.
Nilihisi raha tamu sana. Miryam alikuwa anaguna kwa mideko, akinipapasa mikononi mpaka mapajani, nami nikaamua kusimama chini kabisa huku yeye akiendelea kulala hivyo hivyo chali na miguu yake ikitanuka hewani. Kuangalia namna matiti yake yalivyonesa-nesa, jinsi kalio na mapaja yake yalivyotoa sauti za vichapo, na sauti yake tamu akiguna, yaani aisee! Sikutaka kuacha.
Alikuwa akiguna kwa hisia sana, na alijitahidi kunyanyua shingo yake ili awe ananitazama usoni lakini kutokana na uzito nafikiri shingo yake ikawa inachoka, hivyo akawa akiangusha kichwa chake kitandani na kukipeleka huku na huko, nywele zake zikivurugika kwa ulaini hadi kutiririkia usoni kwake. Alipokinyanyua kichwa tena ili kuniangalia, nikazikamata nywele zake juu ya kichwa na kuendelea kuzishikilia hivyo hivyo, kwa hiyo hakukirudisha chini tena. Ah! Nilipenda sana jinsi alivyokuwa akirembua na kuunyonya mdomo wake wa chini utadhani alikuwa anataka kuunyofoa wote, nami nikakomaa na utashi wa kupeleka kiuno mbele nyuma ili kumkolezea utamu zaidi.
Nilipohisi juisi zake zinakuja, nikachomoa upesi, naye akafurumsha hayo maji mara tatu huku kiuno chake kikishtua, kisha nikamwingia tena na kuendelea kumpa vyake. Hakuwa akifumbua macho vizuri yaani, ilikuwa kama vile amezidiwa mno mpaka miguno ikaacha kusikika na mdomo wake kubaki wazi akionekana kuishiwa pumzi, kwa hiyo nikakiachia kichwa chake na kutulia kidogo. Akalala kitandani huku akipumua kama vile hajiwezi, kisha akajigeuza taratibu yeye mwenyewe na kunitegea kalio lake, akiwa amepiga magoti na kuegamia viwiko vyake, mzee nile mbuzi kagoma. Oya!
Nikaiingiza tena mashine yangu ndani yake, na kwa mkao huu ilionekana kumezwa vizuri kweli nilipoyashika makalio yake na kuyaachanisha ili nione jinsi alivyonipokea. Nikaanza kumtandika tena, piga haswa, akiguna na kurudisha mkono wake nyuma, nami nikaukamata na kuukazia mgongoni. Nikakamua huo msosi haswa, makalio yake laini yakinesa yaani mpaka raha, naye akaanza kutetemeka miguu na kujikunja kiasi mgongoni, akishtuka-shtuka kuutoa mshindo wake wa mara nyingine tena, na mashine yangu ikawa imemtoka. Nilikuwa napumua kwa uzito kiasi, hapo dakika zikiwa zimekata nyingi napiga tu muziki bila kuwa nimeshusha mzigo wangu.
Miryam alipotulia akajilaza kabisa kitandani kwa kulalia ubavu mmoja, huku akikilaza kichwa chake kwenye mikono yote. Nikalitandika kofi kalio lake na kulitikisa kidogo, na kwa kuwa aliiunganisha miguu yake kwa pamoja, mapaja yake manono yakawa kama yamekificha kitoweo chake kwa nyuma, hivyo nikasogeza mbele zaidi mguu wake uliokuwa kwa juu ili alale kwa kujiachia zaidi, na hakupinga. Bado alilihitaji joto la JC. Msuli wangu ulikuwa inchi saba mbele bado, hamu ikiwa kali vibaya mno kumwelekea mwanamke huyu, nami nikaanza kuiingiza hekaluni mwake tena huku nikikandamiza kalio lake kwa viganja vyangu vyote.
Ilipozama ndani zaidi, Miryam akafanya "Ahhsss..." huku akinyanyua uso wake kiasi na kupiga vidole vyake hewani mara mbili.
Nikamwambia, "Ah, yaani Mimi ukifanya hivyo napagawa!"
Akaung'ata kidogo mdomo wake wa chini huku akijaribu kunitazama, na kwa sauti yenye deko akasema, "It's not intentional..."
"Najua... ndiyo maana napenda," nikamwambia hivyo kwa hisia.
Akaulaza uso wake tena ili mimi niendelee, na kwa hilo sikutaka kumwangusha.
Nikaanza kumpa za taratibu tu mwanzoni, kisha nikaendeleza njonjo. Kwa mkao huu akiwa kama amepiga nne kwa kulala, kweli alionekana kusikia raha zaidi, na jinsi alivyonibana huko ndani kwa ndani yaani alikuwa akinivuta mno yaani. Mimi mwenyewe mpaka nikawa natoa miguno kabisa, na nikiwa nimemwekea kidole changu karibu na mdomo wake, akawa anakinyonya. Siyo siri, Miryam alikuwa mtamu balaa! Yaani huyu ndiyo angenifanya nitumie msemo muhimu zaidi wa Captain America, 'I can do this all day,' katika maana ya kwamba nisingechoka kufanya hii kitu pamoja naye hata kwa siku nzima.
Ikanibidi nipande kitandani pia na kulalia ubavu, nikiwa kwa nyuma yake, huku bado mashine yangu ikiwa ndani yake, nami nikaendelea kukisugua kitoweo chake huku nikiunyanyua mguu wangu mmoja hewani ili kiuno kifanye kazi yake vyema. Yeye pia akanyanyua mguu wake mmoja ili kuniachia nafasi zaidi, uso wake ukiwa huko kabisa, na dakika chache baada ya hapo nikazidi kuongeza kasi maana nilihisi uchovu ulioletwa zaidi na ile hisia ya mimi kukaribia kushusha mzigo wangu. Kuongeza kwangu kasi kukafanya sauti zake za miguno ziongezeke, akisema 'yes, yes, yes' kila mara, na hatimaye nikahisi vitu vyangu viko mlangoni kabisa kutaka kutoka.
Raha kunizidia ikanifanya nijisogeze zaidi mgongoni kwake, naye akajisukumizia kwangu zaidi, kwa hiyo nikaweza kupitisha mkono mpaka kifuani kwake na kukamata titi lake huku nikiendelea kumkuna kwa kasi sana. Alikuwa analia kama mtoto mdogo, sauti tamu ya kooni na endelevu kwa kila pumzi aliyovuta, 'nnaah sss... aah sss... aahh...' nami hatimaye nikamwagilia pango lake takatifu ndani kwa ndani huku nikimkaza zaidi. Yeye akawa amenishika pajani na kulikaza kwa vidole vyake kama vile kuonyesha hataki nitoe, na hapo ndugu yangu, nikawa nimepanda mbegu kwenye shamba la mwanamke huyu kwa mara ya kwanza.
Ingebidi kutulia kuona ikiwa rutuba bado ilikuwepo, na sikujua nini kingetokea baada ya hilo, ila kwa sasa, sisi wote hatukujali hilo. Tulichojali zaidi hapa ilikuwa kuisikilizia raha ya tendo hili tamu sana limuunganishalo mwanaume na mwanamke, tendo takatifu, ingawa kwa wengi siku hizi huwa linaonwa kuwa la mchezo mchezo tu. Najua hata mimi nilikuwa hivyo, lakini baada ya kumpata huyu mwanamke, sikutaka kucheza tena. Alikuwa amekamilisha kila kitu nilichohitaji katika mwanamke yaani.
Baada ya mechi hiyo kufikia ukomo kwa wakati huu, sote tukaendelea kung'ang'aniana namna hiyo hiyo, huku nikiinyonya shingo yake taratibu, na yeye akitumia kiganja chake kucheza na nywele zangu kichwani. Nilikuwa nimemtia 'love bite' nyingi kifuani mpaka shingoni, yaani sehemu nyingi za mwili wake zilionekana kuwa nyekundu. Nikaufata na mdomo wake nikiwa mgongoni kwake bado, naye akiwa ameigeuzia shingo yake kwangu tukaanza kupiga denda taratibu pia huku nikilivuta-vuta titi lake moja.
Nilipoacha kumbusu, nikamtazama usoni kwa hisia na kusema, "Bonge moja la show, Mimi..."
Akatabasamu kilegevu na kuniangalia machoni kwa hisia pia.
"Unajisikiaje?" nikamuuliza hivyo huku nikitembeza mkono wangu taratibu mwilini mwake.
Akasema, "I feel... satisfied... and also strong."
Nikatabasamu na kumuuliza, "Kweli? Hata uchovu huhisi tena?"
Akatikisa kichwa kukanusha, na kwa kunong'oneza akasema, "Ni kuridhika tu."
"Umeshiba utamu wa Jayden eh?" nikamuuliza hivyo kiuchokozi.
Akatabasamu na kukisukuma kifua changu kiasi huku akiangalia pembeni, nami nikacheka kidogo.
"Come on my love... njoo hapa ulale," nikamwambia hivyo.
Nilikuwa najilaza chali ili yeye aje kunilalia kifuani, naye akatii na kujilaza hapa kifuani huku akijibana mwilini kwangu kwa raha zake. Alipenda sana hii kitu ya 'cuddling.' Muda ulikuwa umesonga, nafikiri ingekuwa ni saa kumi na moja kama siyo saa kumi na mbili. Mwamba hapa nilikuwa nimehisi kuridhika sana pia, yaani hata wazo la kuja kula tena chakula halikuwepo akilini baada ya kula huu msosi mtamu zaidi, kwa hiyo nikaona kutulia nao kwanza kuisikilizia shibe ilikuwa jambo zuri.
Huku nikiwa natembeza vidole vyangu kwenye mwili wake mnono, nikasema, "Nina furaha sana, Mimi."
Akasema kwa sauti ya pumzi, "Hata na mimi nimefurahi pia."
"Umeuhisi moto uliokuingia lakini?" nikamuuliza kichokozi.
Akiwa amelalia kifua changu tu, akatikisa kichwa kukubali.
Nikamuuliza, "Hauna... hofu labda...."
"Nikiwa na wewe siogopi lolote, Jayden. Yote ni sawa kwangu," akasema hivyo kwa sauti yake laini.
Nikatabasamu kiasi na kusema, "Nitafurahi sana ujue?"
"Kuhusu nini?"
"Ukinizalia mwanangu wa kwanza."
"Wa pili, Jayden. Usisahau kwamba una mtoto," akaniambia hivyo.
"Aa... yeah. Ila nimemaanisha... wa kwanza kwako wewe," nikasema hivyo.
"Sidhani kama ulikuwa umemaanisha hivyo," akaniambia.
Nikatulia tu na kushusha pumzi taratibu.
"Jayden..."
"Naam..."
"Ni kwa nini ulikuwa unaishi kama vile hauna mtoto?" akaniuliza.
"Aaa... ona... Miryam, labda tusif...."
"No, no Jayden. Nataka kujua," akaniambia hivyo kwa sauti yenye hisia.
Nikaingiwa na hisia ya kukwazika kiasi kwa sababu sikutaka kumwelezea mengi kuhusiana na suala hilo bado, hasa kwenye wakati mzuri sana kama huu, lakini najua ilikuwa ni muhimu aelewe sababu zangu; nitake nisitake, angepaswa kujua tu.
Akasema, "Niambie mpenzi wangu. Nini kilitokea mpaka ukaamua kumweka mwanao pembeni? Huyo... Stella... mlifanyiana nini mpaka ukajiweka mbali na mtoto wako?"
Sasa sikuona njia ya kuendelea kukwepa kuzungumzia jambo hilo. Leo ndiyo ningefunguka kwa undani zaidi. Akawa amendelea kulala kifuani kwangu tu, huku kiganja chake kikizunguka taratibu upande wa kulia kwenye bega mpaka mkononi kwangu, nami nikawa nazichezea nywele zake na mgongo taratibu pia.
Nikaanza kumsimulia. "Alright. Ni kwamba... nilikuwa natoka kimapenzi na mwanamke fulani zamani... aliitwa Aisha..."
"Mwislamu?"
"Yeah. Pamoja na dini na mambo mengi, ila... alikuwa mwanamke niliyempenda sana yaani... sikuwahi kupenda mwanamke yeyote zaidi ya nilivyompenda yule dada... ila sasa hivi hawezi kupita jinsi navyokupenda wewe..."
Akacheka kidogo kwa mguno na kusema, "Mwone kwanza! Em' endelea."
"Ahah... yeah, Aisha alikuwa wa aina yake. Tulikutana wakati niko Bugando nafanya internship, na tukadumu hadi nimeingia kufanya kazi Muhimbili. Yaani me na Aisha ilikuwa kama vile hatungeachana... hata tulipokuja kuachana, watu waliotujua hawakuamini kabisa..."
"Na ngoja nikisie. Sababu ilikuwa ni huyo Stella," Miryam akasema hivyo.
"Ndiyo," nikakiri.
"Ilikuwaje?"
"Nilikosea. Nilimkosea Aisha. Sikuwa hata na... yaani ilitokea tu nikateleza... si unajua mambo ya vijana na pombe, nilialikwa sehemu fulani kwenye party, nikajikuta napitiliza na ndiyo nikakutana na Stella... yaani hata yeye Stella hakuwa na mpango na mie ila ndiyo ikatokea... na Aisha akaja kugundua. Ni mambo mengi sana Mimi, ila... kifupi tu ni kwamba nilijaribu kumwomba Aisha msamaha lakini akakataa. Ingekuwa kwamba ni mwanamke yeyote tu labda angepotezea ila Stella alikuwa rafiki yake, ndiyo maana hakutaka kunisamehe," nikamwelezea.
"Ni lazima aliumia sana..."
"Yeah. Nilimuumiza. Nilikuwa na matarajio mengi sana ya kuja kurudiana naye labda, lakini akapata kitulizo sehemu nyingine kwa hiyo... nikaamua na mimi nisonge mbele. Nika-focus kwenye kazi, nikawa najitahidi kufanya mambo mengi ili tu Aisha anipotee kichwani... ndiyo baada ya muda nikaambiwa Stella ni mjamzito. Wakati nimekutana naye, alikuwa na mtu wake, jamaa fulani hivi mhindi, lakini taarifa nilizopata zikanifanya nigundue uwezekano wa huo ujauzito kuwa wangu. Nikataka tu kuhakikisha. Ah, Stella sasa..."
"Akakataa?"
"Yaani hadi alinitukana. 'Hauna mtoto hapa, we' mpumbavu nini?' Nikamwambia haina noma, nikakaa pembeni. Alipokuja kujifungua? Ah! Yaani Miryam... kila mtu aliona jinsi mtoto alivyokuwa ananifanana, sawa? Kuanzia macho mpaka vidole vya miguuni, lakini bado Stella akawa anakataa tu. Ni mjeuri, sijui alikuwa anafikiri ningesababisha mhindi wake amwache? Nikamwambia mimi sitaki kuwasambaratisha na mtu wake. Nilichokuwa nataka tu ilikuwa ieleweke kwamba baba wa huyo mtoto ni mimi, haki ya kumpa upendo kama baba niwe nayo. Lakini akagoma tu. Hakutaka kabisa nisogee pale. 'Mtoto huna, mtoto huna! Usimjue!' Nikasema aaa... sawa. Nikala hamsini zangu, pembeni. Baadaye sijui akawa ameachana na huyo jamaa, kakaa-kaa, akaanza kunitafuta. Nini sasa?" nikaongea hayo kwa hisia sana.
"Alikutafuta yeye mwenyewe?"
"Yeye mwenyewe. Nilimpiga hadi block, akawa mpaka anajileta nyumbani kwa mama eti kunitafuta. Nilimshangaa unajua? Baada ya yale yote, alikuwa ananitafuta ili iweje sasa?"
"Well obviously alikuwa anataka kukuunganisha na mwanao..."
"Mwanangu gani? Si Stella alikataa mimi siyo baba yake?" nikaongea kwa mkazo.
"Jayden..." Miryam akaniita kwa sauti yenye kubembeleza.
"Kwa hiyo aliniona me sina hadhi ya kuwa baba wa mtoto wake wakati yuko na mhindi wake, na alitaka mtoto akue akimdanganya kwamba mhindi ndiyo baba yake. Ila walipoachana akakosa baba mwingine wa kukodi ndiyo akakumbuka kuna JC, si ndiyo maana yake?"
"Jayden acha kuongea hivyo tafadhali..." Miryam akajaribu kunituliza na kunyanyua uso wake, akiweka kidevu chake kifuani kwangu ili aniangalie.
"A-ah..." nikasema hivyo, nikiwa nimeingiwa na hisia za hasira.
"Najua hayo mambo yalikuumiza, lakini hata useme nini, yule atabaki kuwa mtoto wako," akaniambia hivyo kwa upole.
"Kwani unafikiri silijui hilo? Nilitaka kuwa baba kwa huyo mtoto, lakini tayari nia yangu ya kumfikia ilikuwa imeshavurugwa na mama yake kwa sababu ya yeye kuendekeza ujeuri usio na maana. Wako wanaume kibao wanaokimbia wajibu wakigundua wametia watoto za watu ujauzito Mimi, lakini mie nilikuwa tayari kubeba wa kwangu... ila akanizuia. Halafu baadaye ije ionekane vipi? Kwamba nilimtekekeza mtoto, kwamba alikuwa anamleta nyumbani lakini me namkimbia, yaani lawama zote zingekuja kwangu wakati kumbe mama yake ndiyo alikuwa shida. Alinifanya nisitake tena kugeukia huko halafu akaja tena kuanza kunisumbua, ili iweje?" nikazungumza kwa uzito na kuangalia pembeni.
Miryam akanishika shavuni na kusema, "Naelewa ilikukasirisha sana Jayden..."
"Sana," nikasema hivyo na kufumba macho.
"Ila huoni kwamba hiyo inakuhusu wewe pia?" akaniuliza.
Nikamwangalia machoni na kuuliza, "Unamaanisha nini?"
"Yote uliyosema ni kweli kabisa. Na inaweza ikawa hata hivyo kwa upande wa baba yako mzazi pia. Hukuwahi kutaka kumtafuta kwa sababu ulichukulia kwamba alikutelekeza, lakini unajua kiundani zaidi ni nini kilichotokea baina yake na mama yako?" akasema hivyo.
Nikaendelea tu kutulia na kumsikiliza.
"Maisha kwa upande wako yamekufikisha sehemu yenye kukuridhisha kwa kiasi fulani bila msaada wake, lakini bado ulistahili kumjua. Ndivyo ilivyo na kwa mwanao pia. Hata nani aseme nini, hata nani afanye nini, huyo ataendelea kuwa mtoto wako tu. Usije kuchelewa kumfikia, unaweza kumnyima kile ambacho wewe ulikikosa kutoka kwa baba yako mzazi ungali bado hai Jayden. Na tena nafasi ni nzuri kwako kwa sababu mwanao bado mdogo, kwa hiyo una uwezo wa kuingia maishani mwake mapema, na kuwa baba bora kwake kama ambavyo unatazamia... kwa sababu najua hautataka apitie yale uliyopitia wewe..." Miryam akaniambia hayo kwa sauti yenye hisia sana.
Nikashusha macho yangu taratibu, nikiwa nimeguswa na maneno yote aliyosema.
Akalaza kichwa chake kifuani kwangu tena, naye akasema, "Hilo liweke tu moyoni mpenzi wangu. Uamuzi ni wako utakapochagua wakati sahihi wa kumfikia mtoto wako. Na najua utafanya jambo sahihi."
Nikafumba macho na kuendelea kuzichezea nywele zake taratibu, nikiwa natafakari kweli jambo "sahihi" nililopaswa kufanya. Kwa muda fulani, jambo hilo lilikuwa moja kati ya mambo yaliyofanya niamue kuwa aina fulani ya mtu ambaye sikuwa kabisa mwanzoni, na sasa angalau baada ya kuwa nimempata Miryam, ule utu wangu uliofaa zaidi ulikuwa umeanza kufunguka upya, mpaka kweli nikawa natamani tena kuwa baba kwa mtoto wangu. Alikuwa sahihi kabisa kwa kila kitu alichoniambia.
Kuna vitu kweli nilikuwa natamani kufanya kuelekea suala hilo, lakini sikutaka kuligusa kabisa tokea mambo mengi yaliyotokea kipindi cha nyuma kunifanya niliondoe moyoni, na sasa watu kama mama, mzee wangu, Jasmine, na hasa Miryam wakawa wananivuta ili matamanio hayo nianze kuyafanyia kazi. Mara nyingi ningesema tu kwamba niko hivi ama vile kwa sababu nilizozijua mwenyewe, ila labda wakati huu ndiyo uliokuwa mwafaka kuziondolea mbali sababu hizo ili niweze kunyoosha mambo mengi ya maisha yangu kwa usawa zaidi.
Kama wazungu wasemavyo, 'sometimes the only way to move forward, is going back,' kumaanisha wakati mwingine njia nzuri ya kukufanya usonge mbele ni kurudi nyuma tena. Hivyo sasa ingenibidi kurudi nyuma tena na kujaribu kurekebisha afya ya maisha yangu yote iliyokuwa imedhoofika kwa sababu ya makosa ya kibinadamu, ili ndiyo niendelee kusonga mbele vizuri zaidi na mpenzi wangu, Miryam.
★★
Siku hii ilikuwa imegeuka na kuwa nzuri zaidi, hata matatizo hapo nikawa nimeyasahau kabisa kwa kuwa sasa Miryam alikuwa amejitoa kuwa umoja na mimi. Baada ya kupeana hayo mapenzi matamu na kuongea kidogo, tuliendelea kujilaza tu hapo hapo kitandani bila kusemeshana tena hadi nilipoona kwamba giza linavizia, nami nikawa nimerudiwa na kumbukumbu ya jambo fulani muhimu. Miryam alikuwa amefumba macho huku akitulia juu ya kifua changu, lakini hakusinzia. Alipenda nilivyokuwa nambembeleza kwa kutembeza vidole vyangu mwilini kwake taratibu, akitulia tu kusikilizia hisia murua alizopata.
Kumbukumbu hiyo niliyoisemea ikanifanya nimwongeleshe, nikimwambia kuwa tungepaswa kunyanyuka sasa ili tujiandae. Akaniuliza kujiandaa kwa ajili ya nini, ndiyo nikamwambia kwamba nilikuwa na mpango wa kumtoa kwa ajili ya chakula cha jioni, nimpeleke sehemu fulani nzuri na maalumu ambayo ingempatia furaha zaidi. Alikuwa anataka tubaki tu hapo hapo, asione haja ya mimi kufanya hayo yote kwa ajili yake, lakini nikamwambia tayari maandalizi nilifanya mapema, na nilimletea zawadi ambayo ilihusiana na sehemu ambayo tungekwenda.
Akiwa hajanielewa vizuri sana, ndiyo nikanyanyuka na kumwacha hapo kitandani, huku sote bado tukiwa kama tulivyozaliwa, nami nikaufata ule mfuko uliokuwa na ile bidhaa niliyoagiza kwa ajili yake. Nikarudi kitandani tena na kumpatia, naye akajikalisha na kuanza kuufungua, na sasa akiwa amekivuta kile kikhanga chake na kujifunika kifuani hadi kwenye hips. Mimi pia nikavaa boksa yangu, naye Miryam akawa ametoa maboksi mawili yaliyokuwa mapana kiasi kutoka kwenye huo mfuko, kisha akalifungua la kwanza na kutoa viatu vizuri vya kuchuchumia vyenye kung'aa rangi ya silver, naye akatabasamu kwa hisia. Akaviweka pembeni na kufungua boksi la pili na kuinyanyua hewani nguo iliyokuwa humo ndani; akiitazama kwa upendezi mwingi.
Ilikuwa ni gauni ndefu na laini, spesho, yenye rangi ya maroon kuanzia juu mpaka chini. Miryam ndiyo akawa ametambua sasa kwamba niliipenda sana hii rangi, nami nikamwambia hilo ni kweli. Gharama ya hiyo nguo ilikuwa ghali shauri ya kutoka kwenye duka kubwa, naye akasema niwe mwangalifu kutochezea hela sana kwa ajili yake tu. Alikuwa akihisi kwamba ningeanza kumnunulia vitu-vitu vingi sana ili tu nimfurahishe, na siyo kwamba hakupenda ila hakutaka tu ionekane kama vile ameanza kunikomba. Akanifanya nicheke kidogo, nami nikamwambia yaani hapo ilikuwa bado, ningefanya mengi sana kwa ajili yake. Hakutakiwa kuwa na wasiwasi.
Akanishukuru na kunipiga busu shavuni, naye akauliza ni wapi ambapo tungekwenda. Nikamwambia ni surprise, na kwa sababu nilifanya "reservation" huko ya misosi kwenye mida ya saa mbili, ingetubidi tuwahi kuondoka angalau kwenye saa moja na nusu hivi. Akabaki akinitazama usoni kwa njia fulani kama vile ananihukumu eti, nami nikamuuliza nini, lakini akacheka kidogo kwa pumzi na kusema haya, haina shida, angeenda kuoga tena. Nikacheka pia na kusema tukaoge wote, lakini akakataa na kunyanyuka kutoka kitandani akiniambia yaani anajua kama tungeenda kuoga wote ndiyo tungechelewa zaidi.
Nikasema sawa, basi atangulie, na alipokuwa ameanza kuuelekea mlango wa kuingilia bafuni, nikamuwahi kabla hajaingia na kutaka kulazimisha tuingie pamoja, lakini akawa ananikatalia, akinisukuma nirudi kitandani. Nilipoendelea kumlazimisha tu, akaweka uso thabiti kama kuonyesha amekerwa, nami nikakifata kitanda na kujilaza kwa kujikunja, eti nikimwonyesha kwamba naongopa. Ndiyo akaingia bafuni huku akisema nipunguze mchecheto, vingine tungefanya tu nikishamwoa.
Ndiyo tukaanza kuongeleshana kama tunachambana sasa, nikimwambia yaani ningehakikisha vyote tunafanya kabla ya ndoa na ndoa inafungwa, na yeye akiniambia niendelee kuota. Niliburudika zaidi kuendelea kuongea naye kimichezo, nami nikachukua simu kutuma ujumbe huko nilikokuwa nimefanya maandalizi kuwajulisha kuwa ningefika na mpenzi wangu muda usio mrefu. Miryam akatoka bafuni tena akiwa amejifunga kwa taulo, naye akaniambia nikaoge sasa. Dah! Yaani kumwangalia akiwa ametoka kuoga, huo mwili, alinitamanisha!
Nikawa namwangalia tu kwa yale macho yangu ya kizembe, naye akawa anakausha tu nywele zake akijifanya hanioni. Mhm, haya bana, nikaona nielekee tu bafuni, nikimwacha ananicheka eti kwa kunishinda wakati huu kumpa kingine cha bafuni, ila alijua sikuwa nimemalizana naye. Ningemshika tu tena, maana hakuwa akiniishia hamu huyu mwanamke. Ila kwa sasa, wakati mzuri niliokuwa nimemwandalia huko tuendako ndiyo uliokuwa muhimu zaidi, kwa hiyo nikafanya upesi kuoga ili twende kuburudika zaidi pamoja.
★★
Tumekuja kumaliza kujiandaa saa moja ikiwa imeshaingia, na ikikaribia nusu saa yake kabisa. Nilivalia T-shirt zuri lenye rangi ya blue-nyeusi pamoja na blue-bahari sehemu za kola na mikono, pamoja na suruali nyeusi ya jeans, zikiwa kati ya nguo ambazo zilikuwepo tu kwenye kabati langu, nami nikatia na raba kali nyeusi miguuni, saa mkononi, na cheni nzuri ya rangi ya shaba. Hata Miryam aliona ni namna gani nilivyopenda sana usharobaro, na ulinifaa. Yeye Miryam alipendeza pia baada ya kuvaa kigauni chake laini na vile viatu vya kuchuchumia nilivyomletea.
Hiyo nguo iliung'ata mwili wake! Yaani mpaka raha. Alitamanisha sana kwa kumwangalia, maana ilikuwa ya moja kwa moja mpaka kufikia miguuni, ikiwa ya ule ulaini wa kuvutika uliofanya umbo lake lichoreke kiumatata mno, halafu mikanda ya mabegani ilikuwa myembamba sana pia. Sehemu ya juu ya kifua chake ilikuwa wazi na aliyasitiri vyema matiti yake kwa kuvalia sidiria wakati huu, akiwa amehakikisha kujipodosha vya kutosha kuziondoa alama nyekundu zilizokuwa kwenye ngozi yake. Na ukimwangalia kwa nyuma, yaani, mistari ya nguo yake ya ndani kwenye makalio ilichoreka hapo kwenye gauni, hilo kalio likinesa kwa kila hatua aliyopiga. Uraa, mtotp yaani dosalalee!
Tulikuwa tumeshazoeana vilivyo wakati huu, mwanamke wangu akinichania hadi nywele zangu vizuri baada ya kuzitengeneza za kwake kwa kuxilaza mpaka mgongoni, na yaani alikuwa amekuja na virembesha vyake muhimu mkobani kwa hiyo usoni aling'aa ile mbaya. Kwa uzuri lakini. Alikitengeneza hadi na kitanda vizuri zaidi kwa kukibadilishia mashuka, na akasema yale ya mwanzo angekuja kuyafua. Mke huyo! Mimi mwenyewe nilipenda kulishika-shika kalio lake na kuiweka miili yetu kwa ukaribu kila mara, nikitaka anipe busu na nini, lakini akawa ananikwepa akisema lipstick ingevurugika, na tungechelewa. Alikuwa makini na mikakati huyu, hadi raha. Nilikuwa nimempata mwanamke mwenyewe.
Kwa hiyo tulipokuwa safi kwa kila kitu ili kuondoka, nikaenda kufungua geti na kulitoa gari langu nje, kisha nikarudi kulifunga geti na ndiyo mimi na Mimi wangu tukaingia garini pamoja. Alikuwa mtulivu tu, akisubiri kuona ni wapi ningempeleka ili aburudike zaidi, nami nikaliondoa gari eneo hilo na kuingia barabarani. Akawasiliana na mama mkubwa wake, Bi Jamila, akauliza hali ya nyumbani, na inaonekana mama huyo akamwambia kila kitu kilikuwa sawa tu. Miryam akamsisitizia mama mkubwa wake kumwangalia zaidi Mariam, yaani utafikiri huyo binti alikuwa mtoto, na akamwambia kesho atajitahidi kuwahi mapema kufika huko nyumbani.
Nilikuwa makini tu na uendeshaji, huku moyoni nikiwa nimejawa na hamu kubwa kwelikweli, na baada ya Miryam kumaliza maongezi na Bi Jamila akaanza kuangalia maeneo tuliyoyapita, akisema baadhi ya hizo sehemu ameshawahi kutembelea hasa kipindi kile alichokuwa akisoma chuo huku, na sasa palibadilika kweli. Tulipapita hadi kule Jogoo ambako niliwapeleka yeye na familia yake siku ile kula kisinia. Ilikuwa imeshaingia saa mbili kamili tulipoingia maeneo fulani hususa ambayo ndiyo nilidhamiria kumleta, nami nikaona nianzishe mada.
"Na huku? Ushawahi kufika?" nikamuuliza hivyo.
Akaangalia hizo sehemu za pembeni na kusema, "Sijapatambua vizuri, labda shauri ya usiku. Ila nitakuwa nimeshawahi kuipita hii sehemu. Panaitwaje huku?"
Nikatabasamu tu na kubaki kimya.
"Si uniambie?" akasema hivyo.
Nikaendelea kubunda tu na kuliingiza gari kwenye barabara ya changarawe, tukiiacha lami na kuanza kupita nyumba kadhaa ndani ya mtaa huo.
"Ndiyo hutaki kuniambia ili usiharibu surprise au?" akaniuliza hivyo.
Nikamwangalia tu na kutabasamu kiasi, na hapo nikawa nimelifikisha gari mbele ya geti la nyumba kubwa sana, ndiyo nikasimama hapo na kupiga honi mara mbili.
Miryam akanitazama usoni kiumakini, nami nikiwa namwangalia usoni pia kwa macho ya kizembe, akauliza, "Jayden hapa ni wapi?"
"Karibu Goba Center," nikamwambia hivyo.
Miryam akaangalia mbele kwa njia ya utambuzi.
Nikasema kwa uchokozi zaidi, "Tunaiita hii mitaa ya Steve Nyerere."
Geti hapo mbele likaanza kufunguka taratibu, naye Miryam akaniangalia usoni kwa macho yenye wasiwasi na kusema, "Jayden umenileta kwenu?!"
Nikatabasamu tu na kuanza kulisongesha gari ili kuingia huko ndani.
"Jayden, ngoja kwan... subiri, eh Mungu wangu!" Miryam akasema hivyo na kuweka kiganja chake mdomoni.
Alionekana kupagawa yaani, nami nikawa nimefikisha gari usawa wa nyumba ya mlinzi na kusimama hapo kwa kuwa mlinzi alilikaribia gari langu mpaka mlangoni.
"Vipi bro?" nikamsalimu.
"Fresh. Za siku bwana mdogo?" jamaa akanisemesha vizuri pia.
"Nzuri. Uko makini kweli ndugu yangu, hakuna mtu ananyatia hapa, au siyo?" nikamsemesha kirafiki.
"Ah, uhakika. Yaani muda wote kazi kazini. Si unaona mjengo hauchubuki? Ndiyo kazi yetu," akaniambia hivyo kirafiki pia.
"Ahahah... sawa sawa. Nimeona tuje kuwatembelea kidogo tena," nikamwambia.
"Karibuni bwana. Dada... za saa hizi?" akamsalimia na Miryam.
Nikamwangalia bibie na kukuta amejishika sehemu ya shingo yake huku akiikuna taratibu, naye akamwangalia mlinzi kwa ufupi na kusema, "Salama," kisha akatazama pembeni akionekana kuwa na wasiwasi.
Nikabana tabasamu langu na kumgeukia jamaa, nikimtikisia nyusi kama kumpa ishara kuwa huyu ndiye aliyekuwa malkia wangu sasa, naye akatikisa kichwa kuonyesha uelewa na kunipigia saluti ndogo eti. Nikaendelea kulitembeza gari kuelekea huko sehemu ya kuegeshea huku nikimtazama bibie, yeye akiwa amejishika vile vile tu kama anawaza sana, nami nikacheka kidogo kwa pumzi.
Nikiwa ndiyo nimekaribia sehemu ya kuegeshea magari, Miryam akanitandika kofi mkononi kutokana na mimi kuendelea kucheka, nami nikajikunja kidogo na kusema, "Wee... tulia. Tutapata ajali ahahahah..."
"Hivi wewe una matatizo gani lakini? Yaani unanileta... aih jamani!" akaongea kwa manung'uniko.
Nikawa nimefanikiwa kuliegesha gari langu pembeni ya gari la mzee, nami nikamwambia, "Nikikwambia nakupeleka sehemu special, ujue kwamba...."
"Siyo sehemu ya masihara hii! Jayden, unanileta kwenu bila kuniambia kweli, unategemea...."
"Nilikwambia ningekuonyesha nini maana ya Jayden kukupenda," nikamkatisha kwa kusema hivyo.
Akabaki akinitazama kwa macho makini.
"Hii ndiyo ilikuwa maana yangu. Niliongea na mama. Nikamwambia ajiandae kunipokea nikiwa na mkwe wake, ndiyo nimekuleta sasa... twende tunasubiriwa," nikamwambia hivyo.
"Jayden lakini, kwa nini hukuniambia?" akauliza hivyo kwa hisia.
"Hujui nini maana ya neno 'surprise?'" nikamuuliza.
Akafunika uso kwa kiganja chake na kusema, "Ah, kichwa chako wewe!"
Nikatabasamu tu huku nikimwangalia kwa hisia.
Akapiga ulimi na kusema, "Unanipa wasiwasi Jayden. Hata kama ndo' surprise, a-ah..."
"Kwa hiyo nini? Hutaki kukutana na wakwe zako?" nikamuuliza.
"Siyo hivyo. Ungeniandaa tu, ili niwe tayari."
"Ulizaliwa ukiwa tayari Mimi..."
"Ah, acha mambo yako bwana. Hivi kweli... mama yako anajua kuhusu mimi kuwa.... hivi?"
"Nini? Mzee?" nikamuuliza kiutani.
Akakaza midomo yake kwa njia ya kukerwa, naye akasema, "Kikongwe!"
"Ahahahah... Miryam unanifurahisha sana," nikamwambia.
"No, it's not funny. I'm serious," akasema hivyo.
Nikamwangalia kwa umakini zaidi na kusema, "I'm serious too. Huwa sisahau chochote kile unachoniambia, na ulisema uko tayari kuwa nami bila kujali nini, wala nani atasema nini kuhusu uhusiano wetu. Nimekuleta hapa... huu ni kama mwanzo tu, lakini ni ili pia nikuthibitishie kwamba mapenzi yangu kwako siyo ya mchezo. Nina uhakika kabisa kwamba wewe ndiyo unatakiwa uwe hapa sasa hivi, uwe mzee, kikongwe, sijui ajuza... I don't care. Nimekuleta wewe, kwa sababu nakupenda wewe. Na tunaenda huko ndani pamoja sasa hivi, siyo kesho wala baadaye. Unanielewa?"
Akabaki akinitazama kwa hisia.
"Mimi... uko tayari. Kwa lolote ambalo litatokea huko ndani, najua utakuwa tayari. You're strong. Usiwe na hofu, siyo kama vile nakupeleka kwenye pango la nyoka... hawa ni wazazi tu. Na nilikwambia haijalishi nani atasema ama kufanya nini, mimi na wewe hatutaweza kuachana. Hata kama mama asipokupenda," nikamwambia hivyo na kumtania kidogo.
Akanitazama kwa jicho la hasira eti, nami nikacheka kidogo kwa pumzi tu na kulibonyeza shavu lake kwa kidole. Kisha nikaufungua mlango wa gari, nikizunguka mpaka upande wake na kumfungulia kama gentelomani, na yeye akatulia kidogo kwanza akitazama mbele. Najua alikuwa na ule wasiwasi tu wa mwanzo kwa sababu ya kushtukizwa, ila siyo kwamba aliogopa. Akashusha pumzi kama kujipa utulivu, halafu akabeba pochi yake ndogo na kushuka huku mimi nikiufunga mlango wa gari.
Nikakishika kiganja chake na kumtikisia kichwa huku nikifumba macho yangu kama kumtia moyo kwamba anaweza kufanya jambo hili, naye akatikisa kichwa chake kwa njia ya kuonyesha kutoamini kama kweli nilikuwa nimemfanyia hivi. Nikampa tabasamu la furaha tu, nasi tukaanza kutembea pamoja, tukielekea sehemu ya malango huku nikimwonyesha bwawa maridadi kabisa la kuogelea hapo nje. Ingekuwa siyo kumshtukiza huenda angeonyesha kuvutiwa na mazingira ya nyumba hii, lakini akawa kimya tu na kutazama vitu kwa njia ya kawaida.
Tukaufikia mlango hatimaye na kusimama hapo. Nikamwangalia Miryam usoni kwa macho makini na kupandisha nyusi zangu kama kumuuliza ikiwa yuko tayari sasa, naye akabana midomo yake na kutikisa kichwa kuonyesha utayari wake. Akakikaza zaidi kiganja changu tulivyokuwa tumeshikana, nami nikabonyeza kengele ya mlangoni na kusubiri kwa hamu milango hiyo ifunguliwe ili nione mapokeo ya wazazi kwangu mimi na mpenzi wangu yangekwendaje. Hii ingekuwa noma!
★★★★★★★★★
ITAENDELEA
★★★★★★★★★
Pata Full Story WhatsApp au inbox
Whatsapp +255 678 017 280
Karibuni sana