Tunaomba title ya thread zako nyingine ambazo zimeisha hapa JAmii ForumReturning main characters for Season 3: JC, Miryam, Tesha, Mariam, Ankia, Bobo, Bi Zawadi, Bi Jamila, Adeline, Leah, Jasmine, Stella, Beatha, and Festo!
Wataongezeka na character wengine muhimu kama Simba rafiki yake JC, na Evelyn, binti ya JC. Fanyeni utabiri 😁