Simulizi: Mimi na Mimi

Tunaomba title ya thread zako nyingine ambazo zimeisha hapa JAmii Forum
 
Mkuu wewe ni Mtu Mbad story yako hata siwezi tabiri nipo kusubiri tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo JC baada ya kumshenyenta dada Yako hasira unahamishia kwetu? Tuonee huduma basi ndg yetu
 
Kwa story hii mkuu mi nimekuvulia kofia,
Kuna bibi tumebwagana kiroho safi nimemwambia aende tu mi nasoma hadithi.
Nikimuhitaji atakuja,wako kina ankia,betha ye kwanza nae anaitwa hivyo.
Soraya,Miriam,wote wapo ila bertha kisoronyoko km mwenzie unamsimulia hapa.~
Ila ana shape na sura km
ulimsoma yule miss bantu alifia ufaransa. aliyefia Ufaransa.
Huyu atakua alikua mamaake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…