babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Huyu .wamba hana mfano🤣🤣🤣🤣"Mwana nimesugua meno na huu ulimi mpaka cheche zimetoka, lakini nahisi harufu ya pombe haijakata. Sa' itakuwaje?" akaniambia hivyo.
Ahahahahahahaha!
Huyu Tesha ni mwehu sana.
veryNice
Ukikuta mzee manyanza ni babaake Tesha na jamila mke wa zamani wa mshua ndo utajua hujuiHatimaye nimemaliza dah sio poa, kwa hiyo ndo kusema kumtafuna kote kule miryam mpaka mifupa awe dada ako hapo haiwezakani kabisa tumekataa ndoa tunayo na tunatamba nayo.
Ninawaza tu baba yao Miryam na Joshua asije akawa mzee Frank Mayanza🤣🤣 kama nawaona Jasmin na JC wanavyorudi kwao Mbagala na Miryam na Joshua kuhamia Gobaaa😆
Ahahahahaha. Tesha!"Nyumba kama imetoka dukani yaani. Aisee..."
Dec nadhan, maybeMkuu Elton Tonny ..tumeumiss huu unyama 😂
Unaendelea lini Kwan?
Inshallah mkuu Wacha tuendelee kuusubiriDec nadhan, maybe