Simulizi: Mimi na Mimi

Simulizi: Mimi na Mimi

Inaitwa build-up. Maelezo unayoona hayana maana yanaweza kuja kuwa crucial baadaye kwa njia kubwa. Inaonekana we ndo wale wanaopenda mambo ya pika boom boom kwenye episode za kwanza tu. Siharakishagi mamb mzee, ukiwa humu tambua hilo. Peace
Hujaelewa tatizo, sasa mambo ya nikatoka hapa nikatembea polepole mara nikajikwaa sijui nikapita uchochoroni mara nikanywa bia nikainyanyua chupa hivi na vile, acha kuzunguka mbuyu nenda kwenye point, unapoteza maudhui ya simulizi yako
 
Eti nikajikuna kidogo nikakaa, nikaenda weee
 
Kwa hiyo leo umetupa JC ameamka tu hata mchana haujafika,Hiki kijamaa bwana.

Yaan ameamka akafapiga mswaki then…….. ITAENDELEA
 
Back
Top Bottom