Simulizi: Mimi na Mimi

Simulizi: Mimi na Mimi

Kama Tino alianza kukutana na Leah wakazaliwa Jasmine na JC, why Miryam awe mkubwa kiumri kwa kwa JC? Means that Tino alimuoa mama yao Tesha akiwa tayari ameshazaa Miryam....
 
Mkuu Tonny shukrani Sana kwa burudani murua ila ndoa ya JC na MIMI iko palepale maana MIMI sio mtoto wa damu wa Toni yeye na kaka yake Joshua wana Baba yao. Tesha na Mariam watamuita MIMI shemeji dada hahahaha patamu hapo.
 
Ilikuwaje Miryam kuwa mkubwa kuliko Jayden wakati mama wa Jayden alikuwa wa kwanza kuwa na Tino? Ilitakiwa Miryam awe mdogo. Hii iko hivi, Tino alioa mwanamke mwenye mtoto tayari na mtoto mwenyewe ni Miryam. Miryam Sio biological sister wa Jayden. Ndugu wa damu wa Jayden ni Tesha na Mariam. Kwa hiyo Jayden na Miryam wanaweza kuoana.Na hapo alipo Miryam tayari ana mimba [emoji848]
Daah umeona mbali sana aseeee
 
Asanteni wasomaji wangu kwa kuwa pamoja nami mpaka hapo japo delay zilikuwa nyingi. Season 3 iko jikoni sasa, lakini itachukua muda mrefu kiasi kukamilika. Siyo kuwavunja moyo ila nakutana na changamoto nyingi, lakin muwe na hakika kwamba hapo siyo mwisho. Itaendelea tu baada ya miezi michache. Thenkyuooool🙏
 
Returning main characters for Season 3: JC, Miryam, Tesha, Mariam, Ankia, Bobo, Bi Zawadi, Bi Jamila, Adeline, Leah, Jasmine, Stella, Beatha, and Festo!

Wataongezeka na character wengine muhimu kama Simba rafiki yake JC, na Evelyn, binti ya JC. Fanyeni utabiri 😁
 
Returning main characters for Season 3: JC, Miryam, Tesha, Mariam, Ankia, Bobo, Bi Zawadi, Bi Jamila, Adeline, Leah, Jasmine, Stella, Beatha, and Festo!

Wataongezeka na character wengine muhimu kama Simba rafiki yake JC, na Evelyn, binti ya JC. Fanyeni utabiri [emoji16]
Apo me naona ndoa ya JC na Mimi ipo constant coz Mimi ni mjamzito tayar
 
Apo me naona ndoa ya JC na Mimi ipo constant coz Mimi ni mjamzito tayar
Beatha na Festo wataungana kulipa kisasi kwa JC maana Beatha Bado ana kisasi Cha kumpoteza Bertha, Festo nae ana hasira za kumpoteza Miryam. Na hapo ndipo JC na rafiki ake Simba watafanya kitu 😂
Ankia na Bobo mahusiano yao yatakua poa
Wacha niishie hapa kwa Leo 😂🙌
 
Unapokuwa umeitunza siri kubwa maishani na inakutafuna ndani ya moyo wako.....jitahidi kufanya suluhisho mapema ZAIDI Bi. Jamila mara baada ya kuiona Ile picha ya familia ya JC alitakiwa kujua kwamba Dua na Sara zimrkubaliwa ili apate nafasi yakuomba msamaha too bad akaamua kuendelea Kuwa kimya na kupelekea SHIDA kubwa ZAIDI.
 
Una point ,,, lakin hebu acha kwanza hili pembeni,,,sisi tuendelee kunywa mchuzi tu nyama tutazikuta huko chini 🤣🤣🤣

Samahami lkn kwa kusema hivi ..
 
Ilikuwaje Miryam kuwa mkubwa kuliko Jayden wakati mama wa Jayden alikuwa wa kwanza kuwa na Tino? Ilitakiwa Miryam awe mdogo. Hii iko hivi, Tino alioa mwanamke mwenye mtoto tayari na mtoto mwenyewe ni Miryam. Miryam Sio biological sister wa Jayden. Ndugu wa damu wa Jayden ni Tesha na Mariam. Kwa hiyo Jayden na Miryam wanaweza kuoana.Na hapo alipo Miryam tayari ana mimba
Una point ,,,,lakin acha kwanza hili pembeni,,, sisi yuendelee kunywa mchuzi tu ,,, nyama tutazikuta huko chini ...🤣🤣🤣

Samahani lakin kwa kusema hivi ..
 
Returning main characters for Season 3: JC, Miryam, Tesha, Mariam, Ankia, Bobo, Bi Zawadi, Bi Jamila, Adeline, Leah, Jasmine, Stella, Beatha, and Festo!

Wataongezeka na character wengine muhimu kama Simba rafiki yake JC, na Evelyn, binti ya JC. Fanyeni utabiri 😁
Tunashukuru sana ila ombi letu usichelewe sana tukasahau na kupoteza kumbukumbu na hata flow ya hadithi yenyewe ikatutoka vichwani mwetu
 
Ilikuwaje Miryam kuwa mkubwa kuliko Jayden wakati mama wa Jayden alikuwa wa kwanza kuwa na Tino? Ilitakiwa Miryam awe mdogo. Hii iko hivi, Tino alioa mwanamke mwenye mtoto tayari na mtoto mwenyewe ni Miryam. Miryam Sio biological sister wa Jayden. Ndugu wa damu wa Jayden ni Tesha na Mariam. Kwa hiyo Jayden na Miryam wanaweza kuoana.Na hapo alipo Miryam tayari ana mimba 🤔
Bora iwe hvyo jaman daaaah JC hii ahaa sijui nisemeje
 
Ongea na Eltony tusikae mpaka X mass ndio story ije.
 
Bora Jc na Mirryian wawe ndugu ili Jc abaki na mzazi mwenzie Stella.
 
Returning main characters for Season 3: JC, Miryam, Tesha, Mariam, Ankia, Bobo, Bi Zawadi, Bi Jamila, Adeline, Leah, Jasmine, Stella, Beatha, and Festo!

Wataongezeka na character wengine muhimu kama Simba rafiki yake JC, na Evelyn, binti ya JC. Fanyeni utabiri 😁
Namuona Bertha na katoto kake kazuri kama JC,Miriam nae an.................🤣guys ni utabiri wangu tu🫣🫣🫣
 
Back
Top Bottom