Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Patience my friend. Ni kam unavyongojea bonge moja la movieMwandishi ameingia nyasi 🤔🤔 ama tuwe na subira!
Amu hiya!!!
Mkuu fanya ivyo basiAmu hiya!!!
Mamb mengi kaka, window ndogo. Usijali lakin nimerejea. TartiiibuWe jamaa umejua kutuweka hadi Mimi atakuwa amekaukwa machozi sasa
Ukorofi mwingi😂😂
Mama ake JC alikuwa Bado anatafakari
Kikao ndio kimeisha Jana
Kwahyo tutegemee Elton Tonny kuja na mwendelezi kabamnbe
Tuliishia pale JC kampeleka Mimi nyumbani kwako na wakapata zengwe kwa kuambiwa wao ni mtu na mdogo wake yaan wameshea Baba, so Mimi akaanza kulia ndo hapo tuliishia analiaNilishasahau nilipoishiaga.