Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui

Chewaso.πŸ€“
Hawakuwa wanatabasamu peke Yao maana ata Mimi nilikuwa na tabasamu pia.πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣 acha fujo acha fujo yani kweli ndiyo inaishia hapo jamani ?? Kama siyo kutiana hamu huku ni nini ??
 
Nimekiwa mfuatiliaji mzuri tu wa story humu lakn niseme tu mpaka sasa waandishi bora humu ni

- mbongo Edgar
Na story zake" radhia "
Na hii " nyuma yalango wa adui "



- Elton John

Na story yake ya "mimi na mimi "

Hawa jamaa ni moto wa kuotea mbali
Afu sifa nyingine ya hawa jamaa wakiandika story ni lazima ifike mwisho haijalishi itachukua muda gani lakn ni lazima mzigo ufike mwisho

Ukweli mnastahili pongezi kwa kazi kubwa na ngumu muifanyayo
 
Hiyo mimi na mimi nakumbuka mara mwisho kusoma ilikuwa last year sijui mwezi gani, bado inaendelea? Nilishapoteza link yake nitaitafuta nikipata chance.
 
Hiyo mimi na mimi nakumbuka mara mwisho kusoma ilikuwa last year sijui mwezi gani, bado inaendelea? Nilishapoteza link yake nitaitafuta nikipata chance.
Yeah !! Mwamba karudi na episode ya 3 ,,, oyaaa ni shidaaa ,,,,yani story zinazokimbiza kwa sasa jamiiforumi ni hii nyuma ya mlango wa adui na hiyo mimi na mimi

Nenda kausome mzigo tunaposubilia episode nyingine huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…