the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,611
- 7,063
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui itakuwaje dahHahahaa, ni kweli mkuu, Costa na mwafulani ni perfect match. Pius ana kila dalili ya kuwasaliti wenzake kama ulivyosema, na ubaya ni kwamba kashawajua wote wanaohusika na huo mpango
the Legend☆
Ikwapi sjaonaSehemu ya 9 umeiona Madame?
the Legend☆
Costa kasoma seminary kama JiweHahahaa, ni kweli mkuu, Costa na mwafulani ni perfect match. Pius ana kila dalili ya kuwasaliti wenzake kama ulivyosema, na ubaya ni kwamba kashawajua wote wanaohusika na huo mpango
the Legend☆
Duh
Anafanana na nani?Rais costa anafanana na mwafulani halafu huyu Pius huyu atawageuka wenzie
Na mwafulani mtetezi wa malaikaAnafanana na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23]Na mwafulani mtetezi wa malaika
Joni?Na mwafulani mtetezi wa malaika
Bado tunapika😀Endeleeni
Mnapika nn hiko? Hii story ni tam yan nachungulia huku kwa ajili hiyo tuBado tunapika😀
Kwasababu Costa anafanana na naniiiMnapika nn hiko? Hii story ni tam yan nachungulia huku kwa ajili hiyo tu
Umeenda wapi?Mi sipo wakuu...