Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Bila shaka kila mmoja anatamani kuendelea kuifuatilia simulizi hii kwa ukaribu zaidi. Lakini kumbuka mapumziko pia yanakusaidia ufanye na shughuli zako zingine. Ijumaa usicheze mbali na kumbuka kula kizuri na ndugu yako. Sio wewe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ipo weka tu mkuu ngoja ngoja yaumiza matumbo etii
 
Oooh kumbe ana Ctrl+C na Ctrl+V

Yeye anaileta tu hapa na hata mwanzo wakati anaanza kuileta alisema kabisa, mtunzi anaipost somewhere huko, thats why hata mwanzo wa hadithi kuna jina la mtunzi.........
 
Yeye anaileta tu hapa na hata mwanzo wakati anaanza kuileta alisema kabisa, mtunzi anaipost somewhere huko, thats why hata mwanzo wa hadithi kuna jina la mtunzi.........
Basi tuendelee kumsubiri mtunzi
 
Back
Top Bottom