SEHEMU YA 396.
Omari Gambino Tozo ni mtoto wa CDF wa Tanzania bwana Gambino Tozo akiwa mtoto wa tatu katika familia, akitanguliwa na dada zake wawili na kuwa mtoto wa kiume wa pekee kwa familia ya Afande huyu mkubwa wa jeshi, chini ya uongozi wa Raisi Senga.
Hivyo unaweza kusema kwamba Omari alikuwa mrithi mkuu wa kile alichokianzisha Afande Tozo.
Omari wakati alipokuwa mdogo wa miaka kumi na tano , alipokuwa akisoma katika moja ya shule ya Zafe ndipo alipoweza kukumbwa na tatizo ambalo lilibadilisha jina lake na kuitwa Omari Jicho moja.
Kilichomfanya kukumbwa na kadhia hio ni mara baada ya kuingia kwenye mgogoro na moja ya mwanafunzi mwenzake ndani ya shule hio ya Zafe wakati alipokuwa akianza kidato cha kwanza.
Kijana alieingia naye kwenye migogoro alimuundia kikundi ambacho ndio hiko kilichomfanya Omari kupigwa na jiwe kwenye jicho lake na kupasuka hapo hapo.
Tukio hilo lilitokea wakati shule hio ilipokuwa na mashindano ya kimichezo na shule ya Makongo Secondari muda wa saa moja za jioni mara baada ya mchezo wao kumalizika uliofanyika shuleni hapo.
Upande wa mtu aliemjeruhi Omari alikuwa ni mtoto wa mfanya biashara mkubwa nchini na baada ya tukio hilo alimtorosha mtoto wake na kumtoa nje ya nchi , lakini wakati huo huo akilipa fidia kubwa kwa familia ya Afande Tozo , lakini licha ya hivyo familia hio haikukubali hata senti moja kutoka kwa Tajiri huyo na hata Omari mwenyewe aliiambia wazi familia hio kuwa amesamehe , lilikuwa jambo la kushangaza kwa Omari kufanya kwasababu alikuwa ameharibiwa jicho lake na mwonekano wake kwa ujumla na sio jicho tu ni kama pia Maisha yake yaliharibiwa na familia kutaka kulipa kisasi lakini Omari bado alisisitiza kwamba hana shida na aliemjeruhi.
Maisha ya Omari kuishi akiwa na jicho moja yakaanza rasmi na ndio Maisha ambayo yalimbadilisha sana na kumfanya kuwa moja ya Watoto ambao hawakuwa na aibu kabisa , licha ya kubezwa na wenzake lakini yeye hakujali kabisa ukilema wake wa kusababishiwa, Zaidi ya yote alijikita Zaidi katika kusoma.
Baada ya kumaliza masomo yake ndani ya Feza Schools ndio alipopelekwa masomoni nchini China kutokana na chaguo lake mwenyewe na ndio huko huko China ambako kulimbadilisha mtazamo wake na mipango yake mpaka kuachana na ndoto yake ya kuwa injinia na kujiingiza katika maswala ya Chiniese traditional martial Art.
Haikueleweka mara moja ilikuwaje mpaka Omari akaweza kujifunza mbinu za kijini lakini inasemekana mara baada ya mwaka mmoja wa Omari Kwenda Chuo China ndipo alipotoa taarifa kwa familia yake kwamba amepata mbadala wa kutatua tatizo lake la jicho , wazazi wake hawakuelewa alichokuwa akimaanisha na Omari hakutaka pia kuwaelezea kile alichokuwa akiwaambia Zaidi ya kuwaambia tu kwamba ameachana na masomo ya uinjinia na hatokuwa na mawasiliano na familia yake kwa muda , kwa Omari ni kama alikuwa akitoa taarifa na sio kuwaomba wazazi wake ushauri kwani tokea siku alipowasiliana na wazazi wake ndio alipopotea kwa Zaidi ya miaka minne mfululizo.
Lilikuwa jambo ambalo liliumiza familia yake kutokana na kwamba alikuwa akitegemewa na familia yake kama mrithi , lakini hata hivyo wanafamilia hao walijifariji kwamba Omari siku moja atarudi.
Katika utoto wa Omari aliishi kwa ukaribu sana na familia ya Mzee Alex , yaani kwa lugha nyepesi familia yao na ya Mzee Alex walikuwa ni majirani , Queen , Matilda na Abubakari walikuwa wakimfahamu sana Omari tokea akiwa mtoto na hata baada ya kupata ukilema wa macho.
Siku zote Omari alikuwa akimjali sana Queen tokea wakiwa Watoto na Omari alishawahi kujiwekea nadhiri kwamba atakuja kumuoa Queen akiwa mtu mzima na ni kweli bwana huyo hata alipokuwa mkubwa aliendelea kuwa na mahusiano na Queen.
Queen alikuwa akimkubali Omari kama mpenzi wake licha ya kwamba hawakuwa na ule ukaribu wa kuvunja amri ya sita , sasa mambo yote yaliharibika mara baada ya Omari kupatwa na shida ya jicho lake , kwani Queen alianza kujitenga mbali ,jambo ambalo lilimuuzima sana bwana huyo na hata wakati ambao Omari anaenda China hakukuwa na maelewano ya kimapenzi na Queen , ilikuwa ni kama mapenzi yao yalikufa , ila kwa Omari hakuwahi kuacha kabisa kumpenda Queen na alijiapiza atakuja kumuoa na kuwa mke wake kwa namna yoyote ile.
Omari alikuwa akijua Queen alibadilika mara baada ya yeye kupata tatizo la macho lakini hata hivyo hakuwahi kuchukulia tatizo lake la macho kuwa kikwazo cha kukamilisha ndoto yake ya kumfanya Queen kuwa mwanamke wake. Lakini wakati huo huo hakujali sana wale waliokuwa wakimcheka kwa kukosa uzima wa jicho moja.
Naam ni miaka minne baada ya Omari kutowasiliana na wazazi wake , hatimae siku moja Afande Tozo aliweza kupata ujumbe kutoka kwa Omari kwa mara ya kwanza na kumuelezea juu ya mafanikio yake ya kuweza kutibu jicho lake na kwa wakati huo alikuwa akiona kabisa , ilikuwa ni taarifa iliomfanya Afande Tozo kutoka Tanzania na kusafiri mpaka China kuonana na mtoto wake.
Kwanza alikuwa amemkumbuka sana na ameishi kwa wasiwasi baada ya kutowasiliana nae kwa muda mrefu na pili alitaka kuhakikisha kama yale anayoyasema Omari ni ya kweli.
Na hapo ndipo Afande Tozo alipohakikisha kwamba kile anachoongea Omari kilikuwa cha kweli , alifurahi sana , kwani Omari alikuwa na jicho ambalo lilikuwa kama la binadamu wa kawaida , jambo ambalo lilimfanya Afande Tozo kutaka kujua imekuwaje mpaka kujitibu , ni miujiza gani ameweza kupitia.
“Baba miaka yote ambayo sikuweza kuwasiliana na ninyi nilikuwa nikiishi kwenye miliki za kijini zinazofahamika kwa jina la Hongmeng”Aliongea Omari siku hio wakiwa nchini China, maneno yake yalimfanya Afande Gambino Tozo kushikwa na butwaa na kushindwa kumuelewa mtoto wake anamaanisha nini, ni kweli kwamba alikuwa akielewa kabisa uwepo wa Majini kwani Dini yake ya Kiislamu ilikuwa ikizungumzia juu yao , lakini hakuwahi kama binadamu anaweza kuishi na majini , ilikuwa ni jambo la kushangaza kweli kweli.
*******
Mwanga wa jua wa dhahabu ulifunika jiji zima na kulifanya lionekane ni lenye kupendeza mno kwa macho , kwa mtu yoyote mgeni anaeanza kufika angeshangazwa na uzuri usio kuwa wa kawaida wa jiji hili.
Los Angeles ni moja ya majiji ya kuvutia sana yaliopo ndani ya nchi ya Marekani , ni mji ambao hauna majengo marefu ya Kwenda hewani kama ilivyo kwa New York , lakini vile vile ni jiji ambalo halikuwa na joto sana kama vile jiji la Miami au jiji letu la Dar es salaam.
Ni mji uliotulia sana na wa amani wenye watu wengi ambao nyuso zao zimejazwa na sura ambazo zinaashiria Maisha mazuri..
Upande wa Kusini magharibi ndio sehemu iliokuwa na jiji maarufu sana la kitajiri linalofahamika kwa jina la Beverly Hills.
Ni jiji ambalo lipo kwenye ukanda wa pwani mwa bahari ya Pasifiki na kufanya eneo hili kuwa ghali mno, wengi wa watu walioweza kumudu kuishi ni wale waliokuwa wakijiweza kiuchumi , wakiwemo wafanya biashara wakubwa pamoja na watu mashuhuri ndani ya Marekani.
Ni mji ambao ulikuwa ukijitegemea kwa mambo mengi kuanzia Meya wa jiji , watoa huduma wa maswala ya afya , wana usalama na mengineyo na hii unaufanya huu mji kuwa sehemu ya jiji ndani ya majiji.
Jambo lingine la kufurahisha Zaidi ni uwepo wa vitu ambavyo siku zote macho hutamani kuona.
Sasa baada ya kijua cha asubuhi kuchomoza , mwanga ndio uliomfanya kushituka kutoka kwenye usingizi na kuanza kugeuza macho yake kulia kushoto na nyuma kukagua chumba alichokuwemo , alijikuta akiangalia na juu na kuona ‘Ceiling Board’ iliopambwa kwa mchoro wa ua la kupendeza na kumfanya kuvuta pumzi nyingi na kuzishusha.
“Mpenzi wangu Roma naona hatimae umeamka , nilifikiria utalala kwenye hicho kitanda bila fahamu Maisha yako yote”Sauti nyororo na ya kuvutia kutoka kwa mwanamke ilimfanya Roma alielala kwenye kitanda kugeuza macho na kuangalia mlangoni na hapo ndipo anamuona Christen akiwa ameegamia mlango akimwangalia kwa tabasamu, huku macho yake yakisaliti furaha aliokuwa nayo.
Roma alijikuta akigeuza macho yake na kuangalia mwili wake , ni kama sasa anakumbuka kwamba hakuwa na kitu chochote mwilini , halafu mwanamke yule anamwangalia bila ya aibu.
“Christen kwanini kuwa shetani namna hii , umeshindwaje kunivalisha hata nguo?”Roma aliongea kwa kulalamika.
“Hii ni nyumba yangu ndani ya Beverly , na sijawahi kumleta mwanaume yoyote na kulala katika kitanda changu , kwanini niwe na nguo za kiume?”Aliongea huku akitabasamu.
Roma alijikuta akikuna kichwa chake na wakati huo huo akitoa macho , alionekana kama mtu ambaye amekumbuka kitu na kujipiga kwenye kichwa chake.
“Daah..!”
“Kuna nini Roma mbona uko hivyo?”
“Nilitoka nyumbani bila ya kuaga na familia yangu kwasasa itakuwa kwenye wasiwasi ,kama hapa ni asubuhi inamaanisha nyumbani kwangu giza lishaingia siku nyingine, Simu yangu niliacha chumbani na mama yangu sasa hivi naamini atakuwa kwenye wasiwasi sana”Aliongea Roma huku akiwa ni mwenye kuonyesha wasiwasi mkubwa na Christen alitoa cheko
“Usijali Mr Roma najua tabia yako , hivyo nilifanya mawasiliano Kwenda Tanzania tokea siku ya jana mchana”Aliongea Christen na kumfanya Roma kuwa katika hali ya ahueni.
“Unasema kweli?”Aliuliza kwa mshangao na Christen alitingisha kichwa kukubali.
“Najua Edna yupo na angalau ananifahamu , hivyo atakuwa ametuliza hali mpaka sasa”Aliwaza Roma kwenye kichwa chake.
“Vipi unajisikiaje? , Wakati nakuleta hapa ulikuwa kama kaa la moto lakini mpaka sasa umepona na kurudi kwenye hali yako ya kawaida, lakini licha ya kupona ume..”
“Nimepoteza uwezo wangu wote “Aliongea Roma huku akitoa kicheko na kisha akaendelea
“Huna haja ya kuwa na wasiwasi , nimeangalia afya yangu na nipo sawa kwa wakati huu”Aliongea Roma
“Yaani bado unapata ujasiri wa kucheka , hebu fikiria mpaka sasa maadui uliokuwa nao kwa Zaidi ya miaka na nguvu zako zote zimepotea nini kitatokea kama wataanza kutaka kulipiza visasi?”Aliongea Christen kwa wasiwasi.
“Ni kweli lakini siwezi kukaa chini na kuanza kuomboleza , kila kitu kishatokea na ni miujiza kwamba mpaka sasa nipo hai”
“Utajua mwenyewe sitaki kujali kwanzia sasa , maana wasiwasi wangu niliokuwa nao juu yako haupimiki , nimechoka bora umeamka”Aliongea na kisha aliita upande wa nje.
“Sally take the clothes and get Mr Roma dressed”Alitoa amri kutoka kwa mwanadada anaefahamika kwa Sally kuleta nguo ili Roma aweze kuvaa.
Dakika mbili tu mtoto wa kike mrembo mwenye nywele zake za zambarau isiokolea za kujikunja aliingia huku akiwa ameshikilia mavazi ambayo Roma alipaswa kuyavaa , Alikuwa amevaa vazi la gauni nyeusi la kihudumu.
Baada ya kuangalia mwili wa Roma ulivyokuwa hauna hata nguo , alijikuta akiona aibu isiokuwa ya kawaida huku akiwa mwekundu kama yai la kisasa , Christen alimpa ishara Sally kumpelekea Roma nguo pale kitandani.
“Roma ukimaliza nakuhitaji chini, tunayo mambo mengi ya kuzungumza”Aliongea Christen huku akitoka kwenye chumba hiko .
Roma alijikuta akimwangalia Sally kwa namna ya kumchunguza na aliweza kugundua hata mavazi yake ya kihudumu hayakuwa ya kawaida kabisa na alikuwa akielewa historia ya mavazi aliovaa ni muundo uliweza kugunduliwa katika karne ya 19 .
Alionekana kuwa katika miaka ishirini hivi na inawezekana Christen alimwajili tu mara baada ya kumaliza masomo yake ya uhudumu , ndio unaweza ukashangaa lakini wenzetu maswala ya uhudumu wanasomea kabisa na kupewa mpaka vyeti ambavyo vinawatambulisha kama wataalamu katika kazi hio na kuweza kufanya kazi katika mahoteli makubwa pamoja na baadhi ya majumba ya watu wenye kipato cha juu duniani na wale wenye nyazifa mfano wafalme na wengineo wa levo hizo.
Mwanadada huyu mhudumu ambaye alikuwa amejawa na aibu alimwangalia Roma kwa tahadhari mno huku akishindwa kupiga hatua nyingine Kwenda mbele.
“Mr Roma utapenda kuvaa shati kwanza au suruali?”Aliuliza kwa kingereza huku akiwa na wasiwasi maana Roma macho yake yote yalikuwa kwenye kifua cha mwanadada huyo akiangalia manyonyo yake.
“Shati kwanza.. I mean Shirt first”aliongea Roma huku mara ya kwanza kwenye Maisha yake akichanganya Lugha ya Kiswahili na kingereza na hayo yote ni kutokana na kuwa kwenye tafakari nzito ya kuusanifu uzuri wa Sally.
Sally alitingisha kichwa kwa heshima na kisha alitoa shati la rangi nyeupe kampuni ya Versace na kulifungua vifungo haraka haraka kwa namna ya kupendeza , ilionyesha kweli alikuwa amehitimu katika mafunzo ya uhudumu au ukijakazi.
“Jina lako unaitwa Sally si ndio?”
“Ndio Mr Roma”
“Okey sally je naweza kukuomba kitu, nadhani wewe mwenyewe unaona ndio kwanza nimeamka kutoka kwenye usingizi wa muda mrefu , na baaadhi ya viungo vyangu vya mwili vilipatwa na matatizo”Aliongea Roma na kumchanganya mdada wa watu.
“Mr Roma sijakuelewa naomba unyooshe maneno tafadhari”
“Okey Sally nilichokuwa namaanisha ni kama unaweza kunisaidia kufanya majaribiio kama hiki kiungo changu bado kinafanya kazi”Aliongea huku akiangalia kiungo chake cha uzazi.
Ukumbuke hapo bado alikuwa uchi na baada tu ya kuangalia kiungo kile kilianza kushituka kutoka usingizi kikijinyoosha na uchomvu wa asubuhi na kumfanya Sally kuziba mdomo kwa aibu na kugeuka nyuma.
“Mr Roma unamaanisha…”Aliongea huku akiwa mwekundu mno , tokea aanze kazi hapo kwenye hilo jumba hakuwahi kukutana na mwanamme kwa muda mrefu na si hivyo tu ni mara yake ya kwanza kuona kiungo cha aina hio mubashara kwani alikuwa ni bikra bado, hivyo kumfanya kuchanganyikiwa baada ya kuona mdogo wake Roma akisimama.
“Sally sijamaanisha hivyo, najua wewe bado mdogo na siwezi kukufanyia kama unavyofikiria , ninachomaanisha ni wewe kuangalia kama ninaweza kutoa risasi maana nilikuwa kwenye ajali na naogopa naweza kuwa sina uwezo wa kuzalisha”Aliongea Roma bila ya kukosa aibu.
Sally aiekuwa akitukana moyo moyo kwakutana na mgeni ambaye hana aibu na kuwa kama mnyama.
‘Basi sawa Mr Roma ninaweza kukusadia kwa mkono wangu ili tuone”Aliongea huku machozi yakianza kujitengeneza kwenye macho yake , aliona kabisa huo ni uonevu.
“Sally usilie , jikaze unachokwenda kufanya ni kuazimisha mkonowako tu kwa muda , hakuna kingine Zaidi kitakacho tokea, Huenda Miss Christen akaniongezea mshahara au kunipa zawadi kwa huduma yangu ya mkono”Aliwaza huku akiwa na huzuni ilio ujaza uso wake.
“Sally sijamaanisha mkono , utakuwa hunitendei haki , vipi kama risasi hazitotoka , si tutakesha hapa ndani?”Aliongea Roma na kumfanya mwandada wa watu kuzidi kushangaa na kupagawa kwa wakati mmoja.
“Kwahio Mr Roma unataka nifanyeje?”Aliuliza kwa upole.
“Namaanisha angalau mdomo wako , ni mlaini na wa moto hivyo , itakuwa rahisi Zaidi”
“Huyu mwanaume sio binadamu , huu ni unyanyasaji wa kijinsia na rangi”Aliwaza mwadada wa watu mzungu huyo , hakuwahi kukutana na mwafrika ambaye anaweza kumdharau kiasi hicho , alijiambia kama angemkuta nje ya nyumba hio huenda angemtukana , lakini kutokana na namana ambavyo Boss wake alivyokuwa akimjali kama mtu wa muhimu , aliona ajitulize ili kibarua chake kisije kuota nyasi.
“Sally hurry up your boss is waiting for me , you’re such an obedient girl, answering to all my needs , I’ll put good word in for you later”
Sally hakuna kitu ambacho alitaka kufanya wakati huo kama kukimbia, alijiambia kwanini mwanaume huyu anazunguka zunguka si bora aseme tu hata baadae anataka tena , alikua akijua kwenye ulimwengu wa matajiri hata watu maarufu siku zote wanakuwa kama watumwa wa ngono tu kwao, sembuse yeye mwenye cheo cha ujakazi.
Alijikuta akijikaza kijasiri na kufunga nywele zake kwa nyuma na kisha alichuchumaa na kuanza kazi,
“Eeeh,.. Yeah , Sally ukinitekenya na ulimi wako itakuwa bomb.. sanaaa , yes yes kazi nzuri”
Baada ya nusu saa mtoto wa watu alijidondokea chini huku akihema kama mbwa aliekimbia maili nyingi , kutokana na ukubwa wa kitu chenyewe alijikuta akikosa kabisa pumzi na alishukuru tu alikuwa ameweza kuwatoa wazungu.
Roma baada ya kuridhika alivaa nguo zake zote na kisha alimpiga busu Sally na kutoka kwenye chumba hicho kwa ajili ya kumfuata Christen.
“Inaonekana umepona kabisa , na hata tabia yako imerudi , yaani baada ya kuamka kitu cha kwanza unaachoona cha maana kufanya ni kumtesa mfanyakazi wangu kwa mambo yako ya aibu”Aliongea Christen huku akijichekea kwa uchungu lakini Roma hakujali Zaidi ya kujikalisha kwenye sofa huku akifunga vizuri vifungo vyake vya shati.
“Nataka umpatie Dollar milioni moja ,nimemuahidi nitamfidia kwa huduma yake”
“Kwanini nikulipie kwa matendo yako?, hela zako unazo kwanini usilipe wewe”
“Acha utani Christen , hela kwako sio tatizo ila kwake ni tatizo hata hivyo kafanya kazi kubwa, kidogo tu pumzi imwishie”Aliongea Roma huku akijifanyisha kuwa mwenye huruma.
“Daah! naamini Miss Edna anayo kazi kubwa ya kukuvumilia” Roma hakumjali Zaidi ya kunyanyuka na kuchungulia dirishani kuelekea mlimani na jiji lote lililokuwa chini yake.
“Hii sehemu ni nzuri sana na inavutia , nadhani ninapaswa kumwambia Ron kununua kasehemu na kuleta baadhi ya wanawake kuwa kama wahudumu”
“Hii sehemu yote imechukuliwa huwezi kupata hata kama una hela vip?”Alijibu Christen.
“I didn’t say I will go through standard procedute, tell me who wouldn’t trade up their home for their lives”
“Sijamaanisha kwamba nitatumia utaratibu wa kawaida , hebu niambie ni nani anaweza kukataa kuniuzia kama Maisha yake yatakuwa rehani?”Aliongea Roma kama vile ni wale wafanya biashara wa madawa ya kulevya kutoka Mexico.
“Umeweza kupitia maumivu ya Radi tisa, vipi mwanzoni hukujua kama kuna kitu cha namna ile kuweza kutokea?”
“Kama ningejua nisingeendelea kupigana na Poseidon na kutii shuruti , nani angejua kwamba nguvu zangu zote zilikuwa rehani, ni bora kufa kuliko maumivu ambayo niliyapitia nilivyopigwa na ile radi”Aliongea Roma na kumfanya Christen kuwa ni mwenye kuwaza na kisha akamwangalia Roma kwa huzuni.
“Sisi wenyewe licha ya kwamba tushawahi kushudia Radi kama zile , lakini hatukuweza kuelewa zilikuwa zikihusiana nini Zaidi katika mafunzo ya kijini , hata hivyo kwakua kuna mambo hukuelezwa na Hades wa Zamani inabidi nikuambie kwa uchache ,kwanzia tulivyoanza safari ya kutoka kwenye sayari yetu mpaka kuja duniani.
SEHEMU YA 396.
Maelezo ya Christen yanaanza mwanzo kabisa kwa kile ambacho kilitokea kwenye sayari mpaka kuja kwenye uso wa dunia kutafuta masha mapya. Ijapokuwa ni stori ambayo miungu mingi haikupenda kusimulia , lakini Christen anaamua kumuelezea baadhi ya vitu Roma.
Kwa maelezo ya Christen ni kwamba kwanza kabisa walikuwa wakiishi kwenye sayari ya tatu kutoka duniani yaani Mars lakini wao wenyewe sayari yao hawakuwa wakiita Mars kama binadamu wanavyoiita bali walikuwa wakiita ulimwengu mkamilifu yaani Utopia.
Christen anaelezea kwamba kwenye sayari yao raia wake mwanzoni walikuwa ni wenye mitazamo tofauti tofauti , yaani kwanzia dini , umiliki wa vitu na maswala mengi ikiwemo siasa na mengineyo kama ilivyo hapa duniani na hali hio tofautishani kwenye jamii yao iliendelea kwa miaka mingi kadhaa mpaka pale mitazamo ya mtu mmoja mmoja ilipokoma na serikali zote kuungana kwa pamoja , dini zote kuungana kwa pamoja na zile hali zote tofautishi kuungana kuwa kitu kimoja , watu kuwa na mawazo sawa na kushirikiana kwa usawa katika jamii kwenye njanja zote hivyo kuifanya sayari yao kuendana na jina la ukamilifu.
Christen anaelezea kwamba mwanzo wa kile walichokiita ukamilifu katika dunia yao ndio mwanzo wa janga kubwa ambalo liliikumba sayari yao na kupelekea kutokuwa na uwezo wa kusapoti Maisha tena na matabaka ya hewa kumezwa na mbingu.
Sasa baada ya sayari yao kutokuwa salama tena kuishi ndipo baadhi yao waliweza kutoka kwenye sayari hio kutafuta Maisha sehemu nyingine.
Kutokana na kuwa na teknolojia kubwa walikuwa washafanya utafiti mwanzoni na kugundua sayari ya Dunia kuna viumbe hai vya ajabu(Binadamu) waliokuwa wakiishi na kuitawala dunia.
Anasema kwamba walikuwa wakiwachukulia binadamu kama viumbe vya ajabu kutokana na utofauti mkubwa uliokuwepo kati yao na binadamu , anasema kwamba wao walikuwa na maumbo mazuri kuliko binadamu ndio maana wakawa wanatuona kama viumbe vya ajabu , lakini pia miili yao ilikuwa ikifanya kazi tofauti kabisa na wao.
Anaendelea kwa kusema kwamba baada ya Maisha yao kuwa hatarini mara baada ya janga kuikumba sayari yao ndipo walipoanzisha safari ya kuja kwenye sayari ya dunia kwa ajili ya kuanzisha Maisha upya.
Lakini sasa walivyofika ndio wakakuta hali ya hewa haisapoti miili yao kabisa kutokana na kuumbwa tofauti na binadamu, na hapo ndipo walipofanya maamuzi ya kufanya ‘Transmigration of soul’, kitendo cha kuitelekeza miili yao na roho zao Kwenda kuvaa miili ya binadamu huku wakiwa na matarajio kwamba roho ya binadamu ni dhaifu kuliko Roho zao , hivyo ingekuwa rahisi kwa wao kuziteka roho na nafsi zao na kuwatawala , lakini mambo yakawa tofauti nje ya mategemeo yao , kwani Roho za binadamu zilionekana kuwa na nguvu Zaidi kuliko za kwao na wakajikuta wakimezwa wao na kumi na mbili kati yao ndio waliofanikiwa kutawala miili ya binadamu na kumeza nafsi zao.
Anasema lakini mara baada ya kufanikisha kuteka miili ya binadamu , viumbe wengine ambao walikuwa na nguvu Zaidi kuliko binadamu ambao hawakuwa wakionekana walitambua uwepo wao na kuwaona kama tishio na kwanzia hapo ndipo mgogoro ulipoanzia ,migogoro ilioibua vita kati yao na majini kwani waliwachukulia kama tishio , lakini kutokana na kwamba majini mengi yalikuwa na uwezo mdogo wa kimapigano , wengi wao walishindwa kuwafanya chochote na hata wale ambao walikuwa kwenye levo za juu za kuipita Dhiki hawakufanikiwa kumshinda Zeus , Athena na Poseidon lakini pia majini walikuwa wachache sana ambao walikuwa kwenye levo ya kuipita Dhiki , kwani asilimia kubwa walikuwa kwenye Levo ya Mzunguko kamili na wachache kuwa katika levo ya Nafsi.
Vita yao na majini iliendelea kwa muda mrefu kidogo mpaka kufikia kipindi ambacho Zeus na Athena walipokuja kukutana na jini ambalo lilikuwa likitambuliwa kwa jina la Master.
Inasemakana huyo Master wa kijini ndio aliewaletea upinzani sana Athena na Zeus , lakini hata hivyo hakuweza kumshinda Zeus kutokana na siraha yake ya ThundeBolt , siraha ambayo ndio iliokuwa ikiogopwa sana na majini kutokana na uharibifu wake, Master pia akamshindwa vilevile Athena kutokana na siraha zake mbili ya kwanza ikiwa siraha yake ya ngao ya Aegis na mkuki wake utoao cheche ufahamikao kwa jina la Pallas.
Master baada ya kuona kwamba hakuna namna ambayo anaweza kuwashinda Zeus na Athena kwenye mazingira ya kawaida ndipo alipowawekea mtego wa Kwenda kufanya mapigano kwenye miliki za kijini na ndio wakati ambao Zeus hakuweza kurudi tena , huku Athena akijiokoa lakini akiwa amepoteza nguvu nyingi sana na hata kupoteza baadhi ya kumbukumbu zake na hapo ndipo Athena akagundua kwamba Master yule aliwapeleka kwenye mtego na sio sehemu ya mapigano.
Kupotea kwa Zeus anasema kwamba ukawa mwisho wa matumaini yao ya kuweza kuwarudisha wenzao waliomezwa na roho za binadamu na kuendelea kuzaliana..
Lakini wakati huo huo kupotea kwa Zeus na kuumizwa kwa kiwango kikubwa kwa Athena miungu mingine ilikosa uwezo wa kupambana na baadhi ya majini ambayo yalikuwa yashafikia kwenye levo za kuipita Dhiki , hivyo tofauti na kupigana miungu iliobaki ikaomba makubaliano na kutokea siku hio ndio kukazaliwa mkataba wa kiuuungu unaofahamika kama the gods treaty.
Katika mkataba huo makubaliano yalikuwa ni miungu yote kuishi nje ya mipaka ya bara lote la Asia na baadhi ya maeneo ya bara la Afrika na hio ni kutokana na kwamba miliki nyingi za kijini zilikuwa kwenye mabara hayo na mabara mengine kwanzia ulaya na Amerika yote haikuwa ikikaliwa na viumbe aina ya majini., lakini wakati huo huo mkataba huo uliwazuia kutotumia kanuni za anga sehemu yoyote ya dunia.
Sasa unaweza kushangaa kwanini miungu hio ilikubali kirahisi mkataba wa the gods treaty , jibu ni kwamba wakati wanafika duniani mabara ya ulaya pia yenyewe yaliuwa yakikaliwa na viumbe visivyo onekana lakini jamii nyingine kabisa tofauti na majini na viumbe hao hawakuwa na nguvu kubwa sana kama majini katika maswala ya mapigano , hivyo hawakuwa na uwezo wa kupigana na majini na baada ya kuona hivyo ndipo pia wakaomba ulinzi kutoka kwa majini, sababu nyingine pia iliowafanya viumbe hao kukubali baadhi ya sheria ni kutokana na kwamba wao wenyewe walioogopa kufa na kizazi chao kupotea moja kwa moja ukizingatia walikuwa wamebaki kumi na moja pekee kwani wenzao wote roho zao zilishamezwa.
Kilichofaya pia waogope kupotea kwao ni kutokana na kwamba majini yalikuwa na uwezo wa kuzuia vitendo vyote vya viumbe hao kumi na mbili kuhamisha roho zao Kwenda kwenye miili ya binadamu wengine na hili ndio likaibuwa wasiwasi wao Zaidi.
Sasa baada ya makubaliano waliamua kujikusanya kwa pamoja na kufanya makazi yao ndani ya bara la ulaya katika mji unaofahamika kwa jina la Makedonia katika nchi ya Ugiriki juu ya mlima ambao walipatia jina la Mount Olympus , walioupatia jina hilo kutokana na kufanana sana na mlima kutoka kwenye sayari yao(Mars mount Olympus)
Sasa majini ambayo yalikaa chini kwa ajili ya makubaliano ni yale tu ambayo yalikuwa yamefikia levo za juu kabisa za kuipita Dhiki na hao ndio waliokuwa wakifahamika kwa jina la ‘Masters pf Jinn’ na ndio alioweka sheria ya majini yote kutoenda kinyume na sheria za Anga, kutojitokeza katika Maisha ya ulimwengu wa kawaida( mundane world) huku wakibanisha kwamba endao Jini litahusika katika kukiuka sheria za anga basi adhabu itamuhusu na ndio hio radi ya mpangilio wa awamu tisa.
Sasa yote hayo yalipokuwa yakiendelea binadamu Maisha yao yalikuwa yakiendelea kama kawaida na vita ilikuwa upande wa viumbe visivyoonekana , lakini baadae sana ndipo sheria ya the gods treaty ilipotambuliwa na baadhi ya serikali katika mataifa makubwa na miungu iliweza kuheshimu the gods treaty kutokana na miingiliano ya Majini na binadamu lakini wakati huo huo vitengo vyote vya kutumia kanuni za anga vilikuwa vikitibua pia uwiano kwenye miliki zisizoonekana.
Sasa ilionekana katika historia aliotoa Christen mambo mengi yanaonekana kujificha , kwa mfano anashindwa kumuelezea Roma nini kilifanya miungu hio kutambuliwa na jamii nyingi za warumi kwa majina tofauti na kigiriki , lakini pia hakuweka wazi kwanini jamii za Jamii za kigiriki kuwaabudu..
Roma aliweza kusikiliza stori yote nusu kwa umakini na alijikuta akishangazwa na vitu vingi , lakini wakati huo kujawa na maswali kibao , kwani kuna vitu vingi hakuwa akivijua , lakini kikubwa ambacho aligundua ni kwamba kushindwa kwa Zeus ndio kulipelekea tumaini la miungu kuitawala dunia kupungua , lakini pia alielewa kwamba Zeus aliweza kupotea baada ya jini lililofahamika kwa jina la Masters of Jinn kuwawekea mtego yeye na Athena.
“Kuna jambo naomba kuuliza , je wakati wa makubaliano ya kusainishana huo mkataba Poseidon alikuwepo kweli?”Aliuliza Roma.
“Poseidon hakuwepo na hakuwahi kukubali na sio yeye tu , wewe Hades na Athena pia hawakuwepo na walikataa makubaliano ya the gods treaty”
“Sio mimi , huyo ni Hades wa zamani “Aliongea Roma na kumfanya Christen kuguna.
“But why didn’t you mention anything regarding God’s Stone?, Where it came from and what is it used for?”
“Lakini kwanini hujaongea chochote kuhusu jiwe la kimungu , wapi lilitokea na matumizi yake?”Aliuliza Roma.