Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

Ratiba ya mwanzo ilikuwa j4, Alhamis na Jumamosi....siku hizi anapiga random...unaweza ona.moja kwa week...shida Hii. SinganoJr aka Roma Romani...sema neno Kesho wadau wako wapone huku.

Sent from my SM-J510FN using JamiiForums mobile app
 
Ratiba tu zinanibana , kesho nitaweka mwendelezo , uzuri ni kwamba nipo tofauti nikileta mwendelezo ni wa kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu singano jr, njoo taratibu usijikwae ukaanguka bwana, apa nina hamu ya kujua kama majin wa HONGMENG kama watafanikiwa kumvua nguvu ROMA,kwamaana ndo hivyo mbuzi kashajipeleka kibra kama walivyotaka
Sema Roma ana tabia za Kiswazi sana hasa kwenye misosi 😂😂😂
 
"Mr Devil, inaonekana ana siku hahudhulii kwenye group,so umeamua kumuibukia huku chaka
 
singanojr tuonee huruma bas. watu tunashinda kwenye simu kila dakika kuangalia mzigo
 
Mkuu 3500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…