Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Niwe me ama ke haikuhusu.
mkuu nikiamua kurudia kusoma kuanzia mwanzo mpaka to date jumatano itafika kweli?Jumatano
labda ingekuwa story za mtu mwengine lakin mkuu singanojr kwa story zako me nipo radhi nisitoke home nakesha jf .huwezi maliza nakupa 2 weeks
Usiogope, Jumatano ndio leo na Bwana singanojr amekusikiaMkuu hongera Kwa story nzyri ila alosto imekaba kama upwiru Mzee baba
Yaan leo, si ndio?Jumatano
Nyama ziko chiniYaan leo, si ndio?
kbx kbx kbxaaaasinganojr hii simulizi inaweza ikatoboa mpaka 2025 duuh maana siyo kwa ufundi,, msela anaibua vingi sana,,,, anyway ata ivo naomba isiishe maana ndio kiburudisho chetu
Mkuu Singano akikwambia kumekucha, usimwamini maramoja nenda kachungulie jua kwanza.Mkuu singanojr hii ndo jumatano na wadau wako tunasubiri kama ulivyotuahidi
Mpaka ushuhudie kwa macho yako...Mkuu Singano akikwambia kumekucha, usimwamini maramoja nenda kachungulie jua kwanza.
Nimekurupuka nkajua mambo tayari nipate burudiko kabla ya mishemishe kumbe holaMkuu Singano akikwambia kumekucha, usimwamini maramoja nenda kachungulie jua kwanza.
Mie nkajua tyar nishushe na lunch hapaNimekurupuka nkajua mambo tayari nipate burudiko kabla ya mishemishe kumbe hola
Ambapo Ni Jana, si ndio?Nyama ziko chini
tnday is fridayNimekurupuka nkajua mambo tayari nipate burudiko kabla ya mishemishe kumbe hola