Ratiba ipoje maana sioni vikitupiwa vitu siku ya pili leo!?Bado saana
Alisema alhamisiRatiba ipoje maana sioni vikitupiwa vitu siku ya pili leo!?
Huna ishu babu mbona kwenye group hupost kitu? Halafu tukiku report unapigwa BAN
Tapeli huyu mpumbavu,msimsiklize mjinga huyu!Sijui hata umetokea wap kwenye huu uzi na matangazo yako had unaboa yani
Tapeli huyu ndugu yangu,baadae atawaambia mumtumie pesa apost riwaya awapige vizuri!Huna ishu babu mbona kwenye group hupost kitu? Halafu tukiku report unapigwa BAN
Unakosea sana yaani kwenye uzi wa mwenzako unawwka matangazo si na wewe uanzishe uzi wako? Mbona ustaarabu hakuna Mkuu?
Tapeli huyu ndugu yangu,baadae atawaambia mumtumie pesa apost riwaya awapige vizuri!
AlhamisRatiba ipoje maana sioni vikitupiwa vitu siku ya pili leo!?
Fuatilia post zake ameshatoa ratiba, j5 haimo subiri alhamisSenganojr unatutenga bana
Fuatilia post zake ameshatoa ratiba, j5 haimo subiri alhamis
Mda bado saa nne hivi mwamba huwa analeta vyumaHumu leo bila bila
jamaa anazunguka kwenye ile post ya kwa nini ndege inatengenezwa na material mepesi. Huenda kuna kitu kinamhusu ROMA.Hiv hii story imeisha
jamaa anazunguka kwenye ile post ya kwa nini ndege inatengenezwa na material mepesi. Huenda kuna kitu kinamhusu ROMA.
hahahahah! ila mwamb anatuacha na AROSTO