Tuma ommy
Member
- Jan 15, 2019
- 24
- 23
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana Mkuu[emoji4][emoji4]SEHEMU YA 186
Edna baada ya kuhisi mtu aliekuwa amesimama mbele yake , wakati huo yeye akiweka mkoba wake kwa ajili ya kukaa , alinyanyua kichwa chake kuangalia ni mtu gani ambaye alikuwa mbele yake na aligundua ni mwanamke wa kizungu mrefu mwenye pua ya kuchongoka , aliekuwa na nywele nyingi za kufunika mgongo rangi ya Maroon , huku akiwa amepaka lipstick nyekundu ukijumlisha na weupe wake , alionekana kuwa mrembo lakini sio kumzidi Edna ambaye hakupaka hata Lipstick.
Alikuwa pia amevalia miwani Pamoja na suti yake huku pembeni akiwa na mabodigadi wawili kulia na kushoto , wote wakiwa na miwani za jua , kwa jinsi mwanamke huyu alivyokwa akimwangalia Edna , alionyesha dharau za waziwazi kabisa na hakuonekana kuwa hapo kwa nia nzuri na Edna alilitambua hili ila hakujali.
“Piss Off”Aliongea yule mwanamke akimuamrisha Edna kwa maudhi kuwa aondoke kwenye kiti chake na kumfanya Edna ashangae , hakumuelewa mwanamke mwenye maringo aliekuwa mbele yake kumuambia maneno hayo ilihali alikuwa kwenye kiti chake kutokana na kadi yake ya mwaliko.
“Unanidharau , au wewe ni kiziwi na kipofu?”Aliongea kwa maringo huku akionyesha kukasirika akimuongelesha Edna.
“Ingawa sikufahamu wewe ni nani , lakini siwezi kubishana na mwanamke mwenye maringo na kiburi kama wewe , hiki kiti ni changu na siwezi kuondoka”Aliongea Edna huku akikerwa na mwanamke aliekuwa mbele yake , aliona huo ni ubaguzi wa Rangi wa waziwazi ndio maana aliona ampandishie.
“Huwezi kunifahamu kwakua wewe ni mfanyabiashara mdogo sana na huna hadhi ya kukalia viti vya mbele, naomba uondoke kabla sjakudhalilisha”
“Meryl, behave yourself. This seat belongs to Miss Edna . Since you failed to book a spot beforehand, there’s no reason for anyone else to surrender theirs for you”
“Mery hebu jaribu kujizuia , hio siti ni Ya Miss Edna , na kwasababu hukuandaa sehemu yako mapema , haimaanishi kwamba watu wakupe siti zao”Aliongea Stern kumtetea Edna.
“Stern endelea kufanya ujinga wako wa kumkumbatia dada yako bila aibu , kama ningekuwa kwenye nafasi yako ningeshindwa hata kutoka hadharani , usijifanyishe una hadhi ya kushindana na mimi na kuingilia mambo yangu”
“Miss Edna usilijali hilo lipumbavu , linaitwa Mery licha ya kuwa na manyonyo makubwa lakini halina akili , ni kwasababu tu hadhi yake ya kuwa mjukuu wa Malkia wa Uingereza, hana kingine cha kujivunia nacho ,Edna achana nalo wewe kaa”Aliongea Alice na kumfanya Mery apandwe na Jazba.
“Alice kwahio unanitukana , unafikiri nakuogopa kwasababu unatokea ukoo wa Cromwell”Aliongea kwa sauti ya kubwatuka na kufanya hata wageni wengine kuangalia upande wao , licha ya kwamba waliona Edna alikuwa ameletwa hapo na muhudumu , lakini hawakua tayari kumsaidia Edna kwani walikuwa wakimfahamu vyema Mery kuwa mjukuu wa Malkia wa Uingereza mwenye tabia mbaya ya kunyanyasa watu.
Roma aliekuwa amekaa mstari wa nyuma kama msaidizi alijikuta akishangaa na kuvutiwa na tukio hilo , ila hakutaka kuchukua hatua yoyote ile , alitaka kwanza amuache Edna kidogo apate tabu mwenyewe mpaka pale atakapo ona anahitaji msaada wake.
Baada ya Zogo kuvuta watu wengi , ilibidi wahudumu waingilie na , alisogea mfanyakazi mwanaume alievalia suti na nembo ya ‘Paris Fashion Federation manager’.
“Miss Mery, may I ask what you are dissatisfied about?”
“Miss Mery ,naweza kufahamu ni jambo gani ambalo halijakuridhisha”Aliuliza Meneja.
“Meneja sidhani kama haya maonyesho siku hizi yameshuka thamani mpaka mtu kama huyu kuja kukaa siti za mstari wa mbele ili hali ni kapuku tu”Aliongea Mery kwa dharau na kumfanya Meneja kumwangalia Mery na kisha akatabasamu.
“Miss Mery hii siti ni kweli ilikuwa ya kwako , lakini uongozi wako ulitupatia taarifa kwamba hautohudhuria kwasababu upo safarini Kwenda Sweeden na ndio maana akapewa Edna, CEO wa Vexto International”
“Hahaha… Eti Vexto…Nyie wahudumu ni wajinga, yaani kikampuni kidogo kutoka Tanzania mnataka kulinganisha na hadhi yangu, ni kweli nilikuwa na mpango wa Kwenda Sweeden kwa ajili ya harusi ya mtoto wa Mfalme , lakini nimerudi mapema , nyie watu mnataka nikae nyuma ya huyu mwanamke?”
Meneja jasho lilimtoka kwa kukosa namna ya kutatua hio shida , alijikuta akimwangalia Mery na kisha akamgeukia na Edna na kushindwa kutoa maamuzi , upande wa Edna baada ya kusikia maongezi yote , alimwangalia Mery kwa macho makali.
“Hii siti ni ya kwangu na nitakaa hapa , kama kuna unalotaka kufanya unaweza kufanya ila huwezi kunitoa”Aliongea Edna na akakaa na kuchukua makaratasi ya mkataba na kuyaangalia huku akimpuuza Mery.
“Peasant! Do you think I’m afraid of a cheap looking woman like you?!”
“Wewe mtoto wa mkulima , unafikiri nakuogopa mwanameke usie na thamani kama wewe?”Aliongea kwa sauti na kuzidi kufanya wageni waalikwa kusogea karibu , hata wazungu wanapenda umbea jamani sio wabongo tu.
“Mery acha bwana kiburi chako , lisije likakukuta baya Zaidi”Aliongea Stern akimsihi Mery aache.
“Kaa kimya wewe mpuuzi , halafu wewe mwanamke naona unanipanda sasa kichwani , unajihisi mwanamke kama wewe kutoka taifa masikini kama Tanzania unaweza kushindana na mimi , nilikuwa nikiongea na wewe kistaarabu uachie siti yangu ila naona umevuka mpaka , ngoja nikuoneshe usivyokuwa na thamani”Aliongea kwa kupayuka na kisha akawaangalia mabodigadi wake.
“Mchukueni huyu mwanamke mkamtupe kwenye mto”aliongea kwa kuamrisha na kumfanya Edna moyo wake upige Pah , hakuamini kama mwanamke aliekuwa mbele yake ni kichaa na mna hio.
“Yes Madam!”Yaliitikia mabodigani oda ya bosi wao na kumsogelelea Edna, huku Edna akiwa na wasiwasi kweli , aliwaangalia Stern na Alice kama wanaweza kumzuia Mery kuacha ukichaa wake , lakini wao wenyewe walionekana kunywea , huku wahudumu na wao wakishindwa kufanya jambo lolote kwa wakati huo na baadhi ya watu wengine pia waliokuwa wakiangalia tukio hilo wakishindwa kumtetea na walichokifanya ni kuambiana kwa sauti ndogo huku wakitegemea Edna kubebwa na mabodigadi.
Edna alionekana kukosa kabisa msaada na hakutaka kufanyiwa udhalilishaji hapo ndani kwa namna yoyote ile, lakini pia hakuwa na uwezo wa kuzuia jambo hilo na baada ya kuona hana msaada ndio jina la Roma likaibuka kwenye kichwa chake , aliamini ndio mtu pekee wa kumsaidia kuzuia kudhalilika.
Edna aligeuza shingo yake nyuma na kumwangalia Roma na kumuona akiwa ametulia tuli , tena akiwa amekunja nne kabisa bila ya kuwa na wasiwasi , ni kama alikuwa akitaka kushuhudia akibebwa na Mabodiuagdi na Kwenda kutupwa kwenye mto kama Mery alivyoagiza , alijiambia pia huenda Roma mwenyewe alikuwa akiogopa.
“Ahhh!!” Ilikuwa ni sauti ya maumivu kutoka kwa moja ya bodigadi aliekuwa upande wa nyuma na kumfanya Edna ageuke amwangalie nini kimemkuta bodigadi na ile anamkagua aligundua alikuwa kwenye maumivu makali na pale pale yule bodigadi alidondoka chini na kupoteza fahamu , Edna wakati akiendelea kushangaa mara alitokeza mwanaume mwenywe mwili mkubwa alievalia suti , huku nywele zake ndefu nyekundu akiwa amezirudisha nyuma na kumshika bodigadi wa pili shingo yake kwa spidi na kuivunja palepale
“Wow!, What a wonderful take down!”Aliongea Alice kwa kufurahi baada ya Bodigadi aliekuwa akimsogelea Edna kudhibitiwa fasta sana kwa kuvunjwa ,shingo kwa staili kama ya Roma anapovunja mtu shingo..
Sasa baada ya kitendo kile kutokea Ghafla sana , huku kikishuhudiwa na watu wengi ilibidi Mery ainue macho yake na kuangalia mtu ambaye amefanya tukio hilo na alijikuta macho yake yakibung1aa huku akirudi nyuma kwa woga.
“Sau…. Sauroni?”
Sasa kitendo kile kiliwafanya watu kushanga , huku wakianza kunong`ona chini chini , lakini hakuna ambaye alionesha hofu , walionekana jambo hilo halikuwa likiwahusu.
“Sauroni anafanya nini hapa?”Mery alijiuliza huku akizidi kuwa na wasiwasi.
“Kaka huyu jamaa ni nani?, ni mtata sio poa”Aliuliza jamaa mmoja aliekuwa akiangalia tukio hizo akimuuliza mzungu mwingine aliekuwa pembeni yake.
“Nini , haumfahamu?, Huyu ndio jamaa anaefahamika kama Shetani ndani ya kundi la The Eagles , Wengi wanaomjua wanamuita Mfalme wa Mapepo”Aliongea na kumfanya mdogo wake kushangaa
“Ndio yeye?”Aliuliza na kaka yake akatingisha kichwa kuitikia kama ndio.
“Braza nilisikia huyu jamaa alikuwa ndio kamanda wa jeshi la Ardhini la Uingereza kabla ya kuasi miaka kadhaa nyuma na kuwa adui wa wanasiasa wengi ndani ya Uingereza na akakimbilia kusikojulikana mpaka aliporudi hivi karibuni na kuwa sehemu ya watu wanaoaminika ndani ya familia ya kifalme ya Wales”
“Umenena vyema mdogo wangu , nilifikiri bado ni mpumbavu kumbe siku hizi unafuatilia baadhi ya stori za malegend wa Uingereza”Aliongea yule mzungu huku akimgusa mdogo wake kichwani.
“Sio kumfatilia tu Bro , huyu jamaa mimi nakumbali sana maana historia yake inasisimua kwa mambo ambayo aliyafanya kabla ya kutimka kusiku julikana na namna pia alivyorudi uraiani ,lakini pia tabia yake ya kutonyenyekea mtu”
Upande wa Sauroni wala hakujali watu waliokuwa wakimwangalia na kumuongealea , yeye baada ya kuvunja shingo alimsogelea Edna alipokuwa amekaa na kisha akainamisha kichwa kwa heshima.
“It’s the first time we met. My name is Sauron von Ibroklanka. I’m honored to be of your service, Madam Persephone.”
“Ni maa yangu ya kwanza tunakutana , kwa jina naitwa Sauroni Von Ibroklanka, ni heshima kwangu kuwa katika huduma kwako , Madam Persephone”Aliongea Sauroni na kumfanya Edna atoe macho.
“Ni lile jina tena”Aliwaza huku akikumbuka ni Zaidi ya mara tatu hii anaitwa jina hilo hilo ambalo hakuwa hata akijua maana yake na kujiuliza kwanini wazungu hawa walikuwa wakimpa heshima na kumuita kwa jina hilo.
Kitendo cha Sauroni kuonyesha heshima kwa mwanamke wa Kitanzania mfanyabiashara kiliwafanya Wazungu kushangaa sana na kujiuliza huyo mwanamke kafanya nini mpaka kupata heshima ya Saurno , kamanda mstaafu wa jeshi la Uingereza lakini pia kiongozi mkubwa wa kundi la The Eagles.
Lakini wakati wakiendelea kujiuliza mara Sauroni alimpita Edna na Kwenda nyuma yake na kisha akamwinamia kwa heshima Roma aliekuwa amekaa amekunja nne bila wasiwasi
ITAENDELEA
0567151346 WATSAPP ONLY
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]SEHEMU YA 186

ChumaaaaaaaaaaaaaaaaaSEHEMU YA 186

Leo atatupiaMkuu Leo hatupata hata tatu nne?
ASANTE MKUU , Baadae kabla ya saa moja umeme ukiwepo nitashusha nondoMkuu singanojr uko vizuri sana kama Director wa Expendables. James Cameron hauchanganyi kabisa Majina ya watu na sehmu za nchi mbalimbali unajua sana Mkuu. Kongore nyingi sana Mkuu. Weekend hii tushushie mzigo basi
Simulizi ina mambo mengi sana hii ni ndefu na haitokuchosha maana ina matukio ya kimkakatiAsante sana mkuu, unaijua Dunia na Historia yake...sio hadith inaishia mapango ya Amboni...mara Paris, Japan, China, Korea kote imekanyaga, Kitu kimetoka Mbagala Rangi Tatu kinayoyoma Anga za Kimataifa...Tupo Pamoja Mwamba...endelea kumwaga vitu mpaka mwisho...