Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

Ambao mpo WhatsApp group mpo namba ngapi nilipie na mimi
Simulizi inayo fatiliwa na wat wengi kuliko simuliz zote nilizo wah kusomaah kam kuna tuzo wakupeeh bro [emoji119][emoji119] mm kwang ni [emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Duu jumatatu ni kama vile 2096! Hii ctor kali mno! Mliopo wasapu heri yenu! Lkn singanojr unaweza kufanya biashara hata hapa! Kwa sisi tusiokuwa na wasap Kivip njoo online tuelekezane
 
1683911130729.png
 
Kaka naomba uwe unapost vipande hata kumi hii story haipotezi hamu ya kusoma blessed blessed broo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
kimbiza kimbiza na huku sheikh SinganoJr Roma Roman...j4, alhamis na jmo ndio leo...hii ndio ilikuwa ratiba yetu.

Siku hizi unatupia kwa kuibaiba. Hii ndio Hadithi ambayo hujui kinachofuata....mtunzi bora kabisa wa Nyakati zote.
Apeweeh maua yak [emoji253][emoji253]
 
Kwenye gruop mtu unalipia kiasi gani na malipo yanafanyika kwa kulipia story moja au vipande au unalipaje?? Brooo
kama una watsapp nicheki 0687151346
Utaratibu ni rahisi sana unalipia 3000(aftatu) baada ya hapo unapata mwendelezo wa vipande 80 vya mbele then nakuunga na grupu letu la VIP ambalo halina mambo ya kuchat mwendo unakuwa ni j3 mpaka jmosi kila siku saa tatu unapata mwendelezo vipande 2 mpaka vitatu hadi vinne siku nyingine.
Kwasasa tupo volume 2.

Kuna wale ambao pia hawapendi groups nawatumia pia inbox private ada yake ni 3500

NB; Hii simulizi nitaipost yote mpaka mwisho ila utaratibu ni kila siku ninayotoa ahadi KESHO SAA TATU USIKU TUNAENDELEA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom