Darkhorse001
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 306
- 538
Sawa mkuu nimekusikai , ngoja tutafanya hivyoMkuu Hamza singanojr
Kwanza kabsa tunashukuru kwa simulizi tamu na unavyokonga nyoyo zetu
Lakini nilikuwa na ombi/ushauri mmoja kwako
Nimekua ni moja ya wa watu wanaosoma nyuzi nyingi za story hapa jukwaani, nilichokiona na nilichotaman na ww ingekua unafanya ni kwamba unatupia hata episode moja Kwan siku. Hii inampatia msomaji continuation ya matukio na anaelewa simulizi vzur kabsa
Hii ya kutupia vipande 5 baada ya wiki moja, unakuta simulizi imeshaanza kusahaulika Hadi urudie kusoma vipande vya nyuma ndo upate link
Lakini pia, inakua ni rahisi kumaliza simulizi mapema na kwa wakati
Ref: Mimi na Mimi by Elton Tonny
Naomba kuwasilisha mkuu [emoji120][emoji120]
Kweli2manMkuu Hamza singanojr
Kwanza kabsa tunashukuru kwa simulizi tamu na unavyokonga nyoyo zetu
Lakini nilikuwa na ombi/ushauri mmoja kwako
Nimekua ni moja ya wa watu wanaosoma nyuzi nyingi za story hapa jukwaani, nilichokiona na nilichotaman na ww ingekua unafanya ni kwamba unatupia hata episode moja Kwan siku. Hii inampatia msomaji continuation ya matukio na anaelewa simulizi vzur kabsa
Hii ya kutupia vipande 5 baada ya wiki moja, unakuta simulizi imeshaanza kusahaulika Hadi urudie kusoma vipande vya nyuma ndo upate link
Lakini pia, inakua ni rahisi kumaliza simulizi mapema na kwa wakati
Ref: Mimi na Mimi by Elton Tonny
Naomba kuwasilisha mkuu 🙏🙏
Nashukuru sana mkuu 🙏Sawa mkuu nimekusikai , ngoja tutafanya hivyo
Regna. Mgumu sanaSawa mkuu nimekusikai , ngoja tutafanya hivyo
Ataregea2...Regna. Mgumu sana
Huu uzi kwa Leo hatuuoni ngoja nilalie Mbavu zangu make kusubili daah¡!!!Singano sio poa babuu
Haha [emoji23]mhm!! ndo imefika mwisho au vipi?
Au imehamia google ngoja. Tujalibu kutaftaHaha [emoji23]
jamaa anazngua ban...ila poa2..acha tumvutie upepoHaha [emoji23]
Nashangaa hata salamu angalauAu kafajamani.