Duh hata ahadi yako unaikana mkuu?Uendelee kunikumbusha mkuu
BingoUendelee kunikumbusha mkuu
Sawa boss, huna bayaJamii kubwa huku ila huko kwenye Group si kutimiza ahadi...Mabosi wasiporidhika wanakataa kudhamini mwendelezo
Wasaka tonge ,Jamii kubwa huku ila huko kwenye Group si kutimiza ahadi...Mabosi wasiporidhika wanakataa kudhamini mwendelezo
Hana baya....Sawa boss, huna baya
Hata next month sawa wajoli tunasubiliHana baya....
Hata next year poa tuuijumaa chief tunaendelea
Respect mkuuijumaa chief tunaendelea
Hatimae Ijumaa imefika, ngoja tuone, Mr Hades na ahadi zakeijumaa chief tunaendelea