Simulizi ya kusisimua: Kaburi la Mwanamuziki

Hizo verse ulizoziandika kwenye wimbo ulioimbwa siku ya fainali ya TGT. Wimbo ulioimbwa na Godson na wenzake ni mistari mikali sana hata idea ya wimbo iko bomba sana.

Wewe ni mwandishi mkali sana, ufike mbali.
 
Nashukuru Sana Mkuu
 
Huyu Gibson boya kweli.Muda wote ameshindwa kutumia bastola mpaka amekamatwa🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…