Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro


Jina La Hotel ni ANNEX- Keys Hotel iko barabara ya Mbokomu.
 
Mlikuwa mnalipwa Tsh. ngapi Mkuu, hiyo kazi siyo ya kitoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very good story, uimeifanya siku yangu ya mwisho wa mwaka 2018 kuwa yenye matumaini, nitakwenda kuupanda huo mlima na mimi.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mwezi wa 10 na 11 2018 hali haikuwa njema kwa wagumu, tulipoteza wagumu karibia 10. Kwasababu ya mvua
 
Huwa wanakufa kutokana na hali ya hewa. Ukifia sehem wanaweka alama ya msalaba kwa mawe then unashushwa chini haijalishi wewe ni dini gani pale utakapofia wanaweka msalaba kwa mawe. Inakua ishara wengine wakipanda au kushuka wanatambua hiyo sehem kuna mwenzao kadanja so utaona watu wanasikitika
Ilikuwaje mpaka wakapotea huko

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie mshangao wangu kwanini TTC wasihamasishe kwa wanaotaka kupanda Kilimanjaro wapitie njia rahisi ili kuongeza uwezekano wa kufanikisha safari yao badala ya njia hii ngumu?
Ni woga tu wa watu kila njia ni nzuri na kuna changamoto zake, route ya machame na lemosho ina vigongo vikali ila ni nzuri sana kwenye kumalizia summit mwishoni ndio maana wageni wengi wanapenda kupita huko kuliko marangu coz mwisho wa siku anajua lengo lake litatimia.
Marangu njia ni nzuri haina vigongo ila kumalizia kwenda summit ndio shida wengi wanafeli kutokana na atmosphere ya pale ni nzito na upepo mkali...
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Pole sana, mimi nilipitia Umbwe route ila nilipofika Barranco Camp uzalendo ukanishinda na nilibakiza vituo viwil tu yaani Karanga camp na Barafu Hut.... [emoji1482][emoji1482]
Hii route ya Umbwe ni korofi sana na haina wageni wengi kwa sababu ni steep sana
 
Machame route ina miiunuko Ila ni fupi marangu route ni tambarare sana mwanzo mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli aisee siku napanda Kuna wenzetu walianza kuishiwa nguvu na kukoroma nikikumbuka wazungu wakishushwa na machela nililia sana though nilirudi salama salimini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…