Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Thanks sana mkuu.
 
Heaven Sent

Naomba nikiri kwa mara ya kwanza kuwa huu kwangu ndio umekua uzi bora kabisa wa kufungia mwaka,tangu jana sibanduki hapa na umeniinspire kiasi cha kuweka dhamira kuwa mwaka huu 2019 lazima nianze tizi nitapanda mlima loleza na mlima mbeya kama maandalizi ya kupanda kilimanjaro kabla ya mwaka huu kuisha,nimekupenda sana dada yangu.

Ubarikiwe sana Heaven Sent.

Kwenye maisha ukiwa na dhamira hakuna kinachoshindikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni heaven on earth sio heaven sent
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mlima siji panda tena hata nipewe pesa, ninakumbuka nlitaka kukata moto ukitoka Last water sasa pale panaitwa Saddle... pana hewa ya hovyo sana. Kufika jiwe la ukoyo ni balaa, dah Kibo palinitosha sana, kama una roho ndogo usijaribu kupanda mlima huo.
 
i know this pictures[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mdada umefanya vyema sana zaidi umezidi kunipa moyo wa kukwea huo mlima japo binafsi nimeshajaribu sana kuwasihi jamaa zangu tupeane kampani twende ila wanakataa naamini ipo siku nitapanda, aidha nizidi kukupongeza kwa kazi nzuri uliyofanya na ya kututia moyo pia kwa usimulizi wako murua. Stay blessed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona uvivu kuendelea kuandika..

Mniombee ndugu zangu in JP voice. [emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mi nishakuombea uendelee, umesimulia vizuri sana, napenda story za aina hii na kutalii, mi niliwahi kupanda mara moja ila visa yetu ilikuwa inaishia mandara hut

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…