Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Nimempenda hata Mimi japo Mimi muoga wa baridi mnooooo!!naona kabisaa ntakavoishia mandara kwa kweli!!

Ila HOE amenifurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Baridi haiui bana...so usiogope sana. Binafsi baridi hainitishi...especially when the highest ni -27 degrees tu na mimi nshakaa sehemu ambayo ilishawahi kufika -32.

Wasiwasi wangu ni hewa tu ikianza kuwa nzito...I hope I won't give up when the breathing gets tough.
 
Mpendwa, I wish ndo ningekuwa mimi sasa nimefika huko keleleni, bahati mbaya sio mimi. Huyu ni HOE na mimi ni HS, majina ya kwanza yamefanana.

Heaven on Earth congrats namesake, I envy you kwa kweli. It was worth everything.....

Btw nimependa hako kamwili and you didn't forget to climb in style, slaying all the way up lol.. kudos doll
 
Watanzania utaratibu wa kutalii hatuna kabisa, ukiuliza watu wanakwambia pesa hakuna wakati kila simu wanashinda bar, nakumbuka maana juzi jamaa yetu mmoja alipata kazi tanapa akawa mlima Kilimanjaro akatoa ofa kwa yeyote anaetaka kupanda mlima free hakuna aliyejitokeza
 
Ni Heaven on Earth... Kama vile umechanganya watu hapo...
 
Hujawahi kupanda kileleni? I cant believe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…