dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,858
- 2,059
Naamini ipo milima unaweza kuipanda Mama Sabrina. Kuna maeneo upo vizuri nakuamini sana.[emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini ipo milima unaweza kuipanda Mama Sabrina. Kuna maeneo upo vizuri nakuamini sana.[emoji1] [emoji1]
Baridi haiui bana...so usiogope sana. Binafsi baridi hainitishi...especially when the highest ni -27 degrees tu na mimi nshakaa sehemu ambayo ilishawahi kufika -32.Nimempenda hata Mimi japo Mimi muoga wa baridi mnooooo!!naona kabisaa ntakavoishia mandara kwa kweli!!
Ila HOE amenifurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa, I wish ndo ningekuwa mimi sasa nimefika huko keleleni, bahati mbaya sio mimi. Huyu ni HOE na mimi ni HS, majina ya kwanza yamefanana.Heaven Sent
Naomba nikiri kwa mara ya kwanza kuwa huu kwangu ndio umekua uzi bora kabisa wa kufungia mwaka,tangu jana sibanduki hapa na umeniinspire kiasi cha kuweka dhamira kuwa mwaka huu 2019 lazima nianze tizi nitapanda mlima loleza na mlima mbeya kama maandalizi ya kupanda kilimanjaro kabla ya mwaka huu kuisha,nimekupenda sana dada yangu.
Ubarikiwe sana Heaven Sent.
Kwenye maisha ukiwa na dhamira hakuna kinachoshindikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment kwa kuuliza sio kuleta ujuajiHIVI AMBAO HATUJAWAHI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO TUNARUHUSIWA KU-COMMENT HAPA?
Munio munyokwe tyombana nya*oko lukundu lwako nalukulu uligwa nu mapopo bawa
Kuna ule mlima naupanda nafika kileleni kweliNaamini ipo milima unaweza kuipanda Mama Sabrina. Kuna maeneo upo vizuri nakuamini sana.[emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kyundu lyako noko uweee.
Andika kwa kiswahili Ueleweke mpuuzi...ujuaji mwingi .... Kichwani namna kitu..qqquyymaaaaMunio munyokwe tyombana nya*oko lukundu lwako nalukulu uligwa nu mapopo bawa
Ni Heaven on Earth... Kama vile umechanganya watu hapo...Heaven Sent
Naomba nikiri kwa mara ya kwanza kuwa huu kwangu ndio umekua uzi bora kabisa wa kufungia mwaka,tangu jana sibanduki hapa na umeniinspire kiasi cha kuweka dhamira kuwa mwaka huu 2019 lazima nianze tizi nitapanda mlima loleza na mlima mbeya kama maandalizi ya kupanda kilimanjaro kabla ya mwaka huu kuisha,nimekupenda sana dada yangu.
Ubarikiwe sana Heaven Sent.
Kwenye maisha ukiwa na dhamira hakuna kinachoshindikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi kupanda kileleni? I cant believe!!!Mpendwa, I wish ndo ningekuwa mimi sasa nimefika huko keleleni, bahati mbaya sio mimi. Huyu ni HOE na mimi ni HS, majina ya kwanza yamefanana.
Heaven on Earth congrats namesake, I envy you kwa kweli. It was worth everything.....
Btw nimependa hako kamwili and you didn't forget to climb in style, slaying all the way up lol.. kudos doll
Mkuu ukifika Uhuru utatamani kupanda tena....Huo mlima siji panda tena hata nipewe pesa, ninakumbuka nlitaka kukata moto ukitoka Last water sasa pale panaitwa Saddle... pana hewa ya hovyo sana. Kufika jiwe la ukoyo ni balaa, dah Kibo palinitosha sana, kama una roho ndogo usijaribu kupanda mlima huo.
Ila morum ndio laini maana gari inakupeleka hadi mita 3200.dkk40 tu hapo unatoboa camp.ila uanzia starting ya lemosho kuna kitu inaitwa mgongo wa tembo hapo lazma ujambe.Rongai sio Njia ngumu.
Sijawahi kabisa nkamu. Heri ya mwaka mpya
Ha ha ha ha....Hongera mama, next nitakushawishi twende Hifadhi ya taifa Ngorongoro unapita kando ya bonde huku unajikojolea kwa wale waoga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jicho la tatu... Ha ha ha ha