Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Inachukua siku ngapi kutoka hapo kinapa hadi uhuru peak..

Hayo mabweni mnatenganishwa wanaume na wanawake??

Nikitaka kugegeda hiyo nafasi ipo?

Naruhusiwa kutembea na pombe?

Kule juu karibia uhuru peak nimeona kundi zima mmevaa mabuti na makoti sare na torch mnapewa au inatakiwa ununue kabla?

Gharama halisi ni shi ngapi kutokea mwanzo wa kupanda mlima hadi mwisho?

Hao ambao afya zao zilisumbua hawakupewa certificate?

Je ukishindwa kufika kilele ukaishia njiani pesa yako inarudishwa kidogo?

Mazingira ya pale uhuru peak hakuna mtu mwenye pesa zake anaweza kutengeneza hotel ndogo ya kifahari akaweka club na lounge iki tukienda huko angalau tukae hata week2 kileleni..

Nikichukua private jet inishushe hadi hapo uhuru peak nipige picha niondoke zangu inawezekana?

Nimewahi kuona mwanajeshi mlemavu anasifiwa kwa kupanda mlima akiwa na baiskel ya walemavu je kuna ukweli na hayo mawe aliwezaje?
 
Nimeshindwa niandike nini ..

This is very big


What made you walk...just walk and walk ..kuna jambo nimejifunza ulipofika stella point ..and uhuru peak

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes! Nimepitia stories nyingine nyingi baada ya kuhamasika na hii.

Baada ya kuona hiyo clip yake, I have learnt there's a stage you reach where your physical strength can't help anymore.

It's only like Vow which drives you forward. And from that experience, kuna mambo unaweza kuja kuyashinda huku duniani hata kama umechoka kabisa but your spirit will work for you to push it forward.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyu binti ana kishuzi cha kispora,yaani kishuzi kimekaa kimpangilio sana asee. Hapo anaonekana amekaa chini lkn kishuzi kimekuja juu kitaalam mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kucha kama ni ndefu hasa wadada zinaharibika kipindi cha kushuka maana vidole vinakimbilia mbele zaidi vinakutana na kingo za viatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuambie tuu hizo nguvu za kutaka kugegeda hutakuwa nazo hata ukiwekewa hapo haugusi, si ajabu ukawa umeanza kulia ukifika mandara, wata wanagegedana makishuka mlimani kulipana fadhila ya yaliyotokea huko juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Although funny may be a bit challenging, bado hofu ya kufa premature ni kubwa aisee japo nimezaliwa na kukulia Rombo ila hali aliyoielezea sijawahi kuipata. Inatisha kidogo japo inafurahisha na kutia moyo. Pia nimejifunza huruhusiwi kukaa zaidi ya dakika 5 kileleni. Cha kujiuliza je wanaopanda Everest mrefu kuliko huu inakuaje kwenye suala la hewa?. Ukiichukulia kama adventure ni nzuri ila ukweli ni kama kuingia theater nusu kubaki hai nusu kufa aisee.
 
Nikuambie tuu hizo nguvu za kutaka kugegeda hutakuwa nazo hata ukiwekewa hapo haugusi, si ajabu ukawa umeanza kulia ukifika mandara, wata wanagegedana makishuka mlimani kulipana fadhila ya yaliyotokea huko juu

Sent using Jamii Forums mobile app

Gharama halisi za kupanda ni sh ngap mkuu..

Umejibu swali la kugegeda tu inaonekana nawewe ni mdau sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama halisi za kupanda ni sh ngap mkuu..

Umejibu swali la kugegeda tu inaonekana nawewe ni mdau sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilivyoanza kusoma nimeona HOE kaeka budget yake $1500, ninavyojua inaweza kuwa cheap zaidi ya hapo ukitumia makampuni ambayo ni cheap mengi yapo moshi mjini na pia unaangalia high season utatoboka mzee, low season ndio deal ila ndio ujiandae kwa hali ngumu huko mlimani, kingine badala ya kutumia gharama kubwa za kuishi (hotel ya kitalii) zaidi ya wiki kuzoea hali ya hewa ya mosh unaweza kuwahi (na kuish logde za mtaami) na kuanza ku 'trot' mpaka mweka na kurudi nakuambia ukifika kule kilimakyraro na kurudi mara sita utakuwa uko vizuri

Mazoezi ni ya muhimu sana ila mazoezi yanayoendana na hali ya hewa ni mazuri zaidi, mfano u naweza kutoka dsm ukafika marangu ka muinuko kadogo tuu kakakupiga KO sio sababu hafanyi mazoezi ila hali ya hewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa mimi guider wetu alikua anatueleza hili baridi ni kali mpk akutupa mfano kuna baadhi ya wageni wake washashindwa kufungua zip wajisaidie haja ndogo walikua njiani so yeye ndo ikambidi amfungulie na amshushie nguo ajisaidie na ukizingatia anakwambia alikua ni mdada huyo sema ckuweza kumuulizia uyo mzungu alikua wa nchi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…