Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro


Plan yangu ni kurudi 2020 ama 2021 nikijaaliwa uzima na afya.. na hata haikuchukua Muda kuwaza hivyo... Halafu nahisi nikirudi next time nitakua najua ni nini naenda kukabiliana nacho...tofauti ma mwanzoni

Thank you kwa ushauri pia..
 
Sina hata mtoto wa kusingizia. Naenda kufata nini.
Nilivyosoma hapa tuh. Naona Kama nimepanda tayari ....maisha bado nayapenda[emoji23][emoji23][emoji23]
Piga moyo konde twende ukaweke historia ya kufika kileleni point juu ya kabisa ya Bara la Afrika ukiwa ardhini ni historia tosha watoto watakuja tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Jamii Forums kumbe tuna warembo wazuri hivi,nashukuru siku hiyo ulipokuwa unapanda nilikufanyia usaili pale main ofisi,kumbe ndio wewe Heaven on Earth,japo umeficha sura nimekufahamu,uko too blessed

Hahaaa na pale HQ kulikua na watu wengi sijajua hata ni yupi kati ya wale. Mkuu asante pia kwa service yenu. Tulihudumiwa vizuri na kupewa msaada wa hali ya juu kwasababu kuna baadhi ya Documents tulikua hatujakamilisha.
 
Kama umenuia kupanda ni muhimu sana kucheck afya yako, mapigo yako ya moyo, blood pressure, na nguvu ya mapafu yako.

Pia usiwe na matatizo ya miguu/magoti na mazoezi ya kila siku kwa wiki sita au zaidi hasa kukimbia ni muhimu sana ili kuongeza nguvu ya mapafu na mzunguko wa damu.

 
Kama umenuia kupanda ni muhimu sana kucheck afya yako, mapigo yako ya moyo, blood pressure, na nguvu ya mapafu yako.

Pia usiwe na matatizo ya miguu/magoti na mazoezi ya kila siku kwa wiki sita au zaidi hasa kukimbia ni muhimu sana ili kuongeza nguvu ya mapafu na mzunguko wa damu.[/QUOTE]

Asante mkuu ngoja nimshawishi mtu aniunge mkono.
 
Unatugharamia weyeeeee

Unajigharamia mwenyewe mie kazi yangu n kutafuta kampun ipi n nzuri mfano ile route ya marangu Heaven On Earth kasema waliarakishwa kuondoka kwenye room sababu Kuna watu wengine walkua wanaongia. Hvyo mie nitawapa taarifa ili ujue nn kinatakiwa uwe navyo kabla kwenye malipo n wewe mwenyewe ujiridhishe kuwa pesa yako haiendi kupotea Yan utalipa direct kwenye kampun husika lengo n kwenda wengi wengi inasaidia kupata marafiki wapya na connection zaid
 
Hongera sana njia ya marangu ndio nzuri sana ila mlipanda kipindi kibaya cha mvua n baridi,kipindi kizuri ni dec mpka feb ndio kuna jua na hali ya hewa nzuri,kuna waterfalls iko 2.8km ulifanikiwa kuipitia
Wewe umewahi kupanda???

Hao Wanaweza kuwa inspired kupanda. Mimi aliyenihamasisha sana kupanda ni member wa huku anaitwa kiwatengu so you never know


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…