Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,995
- 5,664
Ohooo, bi kidude kawasili uzi umehamia kwenye dini tayari.Ma Shaa Allah.
Kama bado, nakuombea ujaaliwe pia kwenda kuhiji au kufanya Umrah Makkah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooo, bi kidude kawasili uzi umehamia kwenye dini tayari.Ma Shaa Allah.
Kama bado, nakuombea ujaaliwe pia kwenda kuhiji au kufanya Umrah Makkah.
Wazungu wengi hawapendi njia zenye hut(vijumba) wanapenda camping za kujenga mahema na ugumu ugumu sana ile waandike historia nzuri. So huwa wanapenda njia ya machame ambayo haina hut. Vile vile wazungu wanatushangaa sana licha ya waafrika kuwa na nguvu nyingi ila wakipanda kama watalii wanachagua njia ya marangu.Hongera sana njia ya marangu ndio nzuri sana ila mlipanda kipindi kibaya cha mvua n baridi,kipindi kizuri ni dec mpka feb ndio kuna jua na hali ya hewa nzuri,kuna waterfalls iko 2.8km ulifanikiwa kuipitia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu wengi hawapendi njia zenye hut(vijumba) wanapenda camping za kujenga mahema na ugumu ugumu sana ile waandike historia nzuri. So huwa wanapenda njia ya machame ambayo haina hut. Vile vile wazungu wanatushangaa sana licha ya waafrika kuwa na nguvu nyingi ila wakipanda kama watalii wanachagua njia ya marangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes December kuna mvua kaliHiyo njia ukianza kupanda mwanzo unaona ngumu ila badae ukifika usawa wa 3000 unaona simple,nataka nipande njia ya rongai dec hii ikoje njia hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! BAK hii kitu umeiandika mwenyewe nini??
sorry, hii safari ya kushuka iko post namba ngapi?Hapa Ndipo nilipokuwa napasubiri. Huu Uzi umenifanya nisitoke JF Tangu Mwaka Jana Mwishoni. Hongera HOE. Nipo kwenye Plan za kuupanda siku zijazo. Nitakucheck unipe ABC. Kwa hiki ulichotupa hapa!!!Giiiiirl!!!You Deserve an Accolade. Bravo[emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
7,8,9 hata mwezi wa kwanza siyo mbaya sana
7,8,9 hata mwezi wa kwanza siyo mbaya sana
Kama unataka kuandika historia nenda mwezi wa 3,4,5 halafu upitie Machame au njia ya Rongai
Dah! BAK hii kitu umeiandika mwenyewe nini??
[emoji13] [emoji13] [emoji13] maana imegusa points zote muhim kwanini Heaven on Earth alipata shida sana ile sehem ya "kukata moto"
Thanks!
Sent using Jamii Forums mobile app
Check Mwanzoni mwa Page. Wameziweka Sehemu Moja zote.sorry, hii safari ya kushuka iko post namba ngapi?
Wanachagua Marangu kwasababu ya gharama kidogo mkuuWazungu wengi hawapendi njia zenye hut(vijumba) wanapenda camping za kujenga mahema na ugumu ugumu sana ile waandike historia nzuri. So huwa wanapenda njia ya machame ambayo haina hut. Vile vile wazungu wanatushangaa sana licha ya waafrika kuwa na nguvu nyingi ila wakipanda kama watalii wanachagua njia ya marangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks
Wanachagua Marangu kwasababu ya gharama kidogo mkuu
Tena ni mlima mlima Kweli. Ukisimama juu unaona chini vitu vidogo vodogo mnoMilima ya kawaida ndiyo milima gani hiyo SW2? Ni milima hii ambayo ni milima au milima MILIMA? Nauliza tu 😎😎😎
utanipigia banaPiga moyo konde twende ukaweke historia ya kufika kileleni point juu ya kabisa ya Bara la Afrika ukiwa ardhini ni historia tosha watoto watakuja tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Machame haina ugumu wa kutisha sana mkuu.