Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Hongera sana njia ya marangu ndio nzuri sana ila mlipanda kipindi kibaya cha mvua n baridi,kipindi kizuri ni dec mpka feb ndio kuna jua na hali ya hewa nzuri,kuna waterfalls iko 2.8km ulifanikiwa kuipitia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu wengi hawapendi njia zenye hut(vijumba) wanapenda camping za kujenga mahema na ugumu ugumu sana ile waandike historia nzuri. So huwa wanapenda njia ya machame ambayo haina hut. Vile vile wazungu wanatushangaa sana licha ya waafrika kuwa na nguvu nyingi ila wakipanda kama watalii wanachagua njia ya marangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo njia ukianza kupanda mwanzo unaona ngumu ila badae ukifika usawa wa 3000 unaona simple,nataka nipande njia ya rongai dec hii ikoje njia hiyo
Wazungu wengi hawapendi njia zenye hut(vijumba) wanapenda camping za kujenga mahema na ugumu ugumu sana ile waandike historia nzuri. So huwa wanapenda njia ya machame ambayo haina hut. Vile vile wazungu wanatushangaa sana licha ya waafrika kuwa na nguvu nyingi ila wakipanda kama watalii wanachagua njia ya marangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Ndipo nilipokuwa napasubiri. Huu Uzi umenifanya nisitoke JF Tangu Mwaka Jana Mwishoni. Hongera HOE. Nipo kwenye Plan za kuupanda siku zijazo. Nitakucheck unipe ABC. Kwa hiki ulichotupa hapa!!!Giiiiirl!!!You Deserve an Accolade. Bravo[emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
sorry, hii safari ya kushuka iko post namba ngapi?
 
Wazungu wengi hawapendi njia zenye hut(vijumba) wanapenda camping za kujenga mahema na ugumu ugumu sana ile waandike historia nzuri. So huwa wanapenda njia ya machame ambayo haina hut. Vile vile wazungu wanatushangaa sana licha ya waafrika kuwa na nguvu nyingi ila wakipanda kama watalii wanachagua njia ya marangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachagua Marangu kwasababu ya gharama kidogo mkuu
 
Back
Top Bottom