CODE501
Senior Member
- Apr 19, 2013
- 172
- 111
Moja ya thread Bora kabisa hapa JF. Mtiririko wa maelezo unaeleweka vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole na Hongera sana mdada Heaven on Earth , nafikiri hii itakua moja ya post bora ya 2018 sijawahi kuhamasika kupanda licha ya kuwa na ndugu alikua anafanya.kazi pale marangu lango la.kuingia kupanda mlima me nikaishia pale waterfalls lakin kwa jinsi ulivyosimulia nimeshwishika sana mdada anapanda mlima mimi nashindwa hata kujaribu ingekua vizuri kama ungekua umechukua video ungeitengenezea TV show nzuri na utafute kituo bora cha TV urushe kipindi maana TBC hamna anaetaka kuangalia hata kama wanaonyesha.
SWALI : Je toka umapanda umeshawahi.kufikiria kupanda tena na kama ndio ilikutumia muda gani kufikiri kupanda tena?
Yeah, mwezi wa June au July hali ya hewa inakuwa nzuri hakuna barafu nyingiMkuu niliwahi kwenda Uhuru peak na nikakaa zaidi ya dakika kumi, mara nyingi huwa inategemea sana na hali ya hewa ya kipindi hicho.
Yeah, mwezi wa June au July hali ya hewa inakuwa nzuri hakuna barafu nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga moyo konde twende ukaweke historia ya kufika kileleni point juu ya kabisa ya Bara la Afrika ukiwa ardhini ni historia tosha watoto watakuja tu mkuuSina hata mtoto wa kusingizia. Naenda kufata nini.
Nilivyosoma hapa tuh. Naona Kama nimepanda tayari ....maisha bado nayapenda[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani Jamii Forums kumbe tuna warembo wazuri hivi,nashukuru siku hiyo ulipokuwa unapanda nilikufanyia usaili pale main ofisi,kumbe ndio wewe Heaven on Earth,japo umeficha sura nimekufahamu,uko too blessed
Uooopps nimejikuta na mixed feelings, nimefurahi sana nimeogopa mno hasa kwenye stori ya kifo hehe. Mi Tz nimeizurura hasa kwenye vivutio vingi vingi hata kwa majirani zetu, kitu sijawahi fikiria ni kupanda mlima wowote ule. Halafu kwa stori yako nimegundua i know nothing kuhusu milima kabisa, thanks Hoe umeniongezea kitu.
Swali ni je nikiamua kupanda nitaweza? Maana mimi katika maisha yakawaida situmii AC wala feni, naishi kwa kuacha windos wazi 24/7 hasa sehemu ambazo ni salama kwasababu nikitumia feni au AC hasa ikizidi nahisi kuishiwa pumzi na kichwa kuuma. Pia katika checkup mnacheck vitu haswa katika afya zenu? Big up Hoe.
Twende Ruaha National Park 25-27/1/2019Hongera Sana nimeenjoy na umenitia mzuka na Mimi nataka kupanda, mwaka huu lazima nifanye utii sehemu tatu,
mikumi national parks
Serengeti national parks.
Na mt kirimanjaro.
Sent using Jamii Forums mobile app
0k mkuu.Summer ni November, December mkandamizo wa hewa hauko vizuri...
Winter bado ndio kipindi kizuri.
Mkuu asante...
Mkuu asante...
Naona symptoms alizoelezea HoE zimetajwa pia kwenye hii article.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatugharamia weyeeeee
Huko rudi page ya 1-4 wameweka kuleDuuu nimewasomea watoto wamefurahi Sana ,nilikuwa nawadeshi kuwa tutaendelea kesho ....wanasema dady noooo...nimebakiza Cha wakati wa kushuka hicho kipande sikioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umewahi kupanda???
Hao Wanaweza kuwa inspired kupanda. Mimi aliyenihamasisha sana kupanda ni member wa huku anaitwa kiwatengu so you never know
Sent from my iPhone using JamiiForums