Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

nashukuru mkuu kwa elimu na vile umenibainishia, mi nipo nje ya morogoro
 
watanzania mbona tuu wasiri sana?mbona hamsemi gharama za kupanda hiyo milima ?
 
Mkuu mlima Uluguru nilipanda bure sikua na tour guide kwakua ni mwenyeji kiasi flani hapa morogoro ila kilimanjaro mbona mtoa mada amesema mkuu
watanzania mbona tuu wasiri sana?mbona hamsemi gharama za kupanda hiyo milima ?
 
Huu uzi nili subscribe Kabisaaaa kwa mara ya kwanza ulipoletwa hapa na kujiambia ntapanda na nitautafuta tena and I made it haikuwa rahisi Lakini tumefika , nijambo la kujivunia kwa kila mtanzania na asiye mtanzania
Machame route is the best [emoji307]
I love Kilimanjaro
I love Tanzania
 
Wow Hongera sana dear and I am happy kwamba through thread yangu I inspired you to hike Kilimanjaro
Naona umeenda there is no ice.... kama sisi tuliyokutana nayo. HONGERA for reaching the peak cos its not easy at all.
 
Asante dear! Ndio hali ya hewa ilikuwa Nzuri Sana according to our guide! Hakukuwa na ice Kali wala upepo mkali japo me kwangu ilikuwa ni near death experience hahahahaha uhuru ilikuwa -21 degree alafu sijawahi kukaa hata mahali kwenye -1 degree
 
Sio kwa uvivu huo.. It is a great adventure Mimi nime plan kurudi 2020 nikiwa hai.. kuna jambo dogo hatukufanikisha.. So Nitarudi tena

Sent from my iPhone using JamiiForums
unataka kwenda kulia lia huko

fredi kashaacha kazi,labda uende na babe

this time around usilie nakwambia ukae unyamaze mpk ufike uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ