Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Mkuu kwanini usiisome habari yote?
Watu wametoa pesa zao.
smarte_r kauliza vizuri tu tena huenda kaisoma hii story ya mwaka 2018 na kuielewa kwani mwaka huo Kigwangala alitoa Offer kibao na kuchota ndio ,aama ka,uuliza mleta Mada)
H Kigwangala akiwa Wizara ya Maliasili alibuni Project akachota Mabilioni ya pesa na kuunganisha kina Steve Nyerere, Clouds na yeye mwenyewe (fuatilia taarifa ya juzi ya CAG kuhusu ufujaji huo, na naona hata Rais mwendazake ndio maana akamtoa uwaziri)
Wakati January Makamba akiwa Waziri walikwaruzana na Kigwangala kuhusu kuweka Viberenge vya kupanda Kileleni lkn kwa sababu zisizojulikana walihamisha pesa na mambo yote ya utalii yasambae Nchi nzima, km Iringa, km huko Burigi walikopeleka Twiga na Simba badala wangemalizia project ya viberenge
 
Mkuu hata wewe hujaelewa, mbona swala la gharama mdau aliyetoa mada ameliweka mwanzoni kabisa, walitumia kiasi cha Dola 560$ kwa gharama zote.
Kwanini mlete mambo ya Kigwangala
 
Siku nyingine unibebe twende wote jamani
 
NILIPANDA MILIMA UDZUNGWA HADI KWENYE TOP YA SANJE WATER FALL NI MITA 3200 ILA SINTORUDIA TENA UPUMVAVU HUO NISEME NILICHUNGULIA KUZIMU NA NILIFIKA NIKIWA WA MWISHO UZURI TULIDADHIRIWA NA KAMPUNI KIHEREHERE MWANZO WA KUPANDA KUFIKA KATI TU NIMAJANGA ILA NIKAWEZA NADHIRI LAZIMA NIMALIZE TATIZO LA UDZUNGWA MOUNTAIN KUPANDA HAKUNA TAMBALALE WA SLOP HATA MOJA NI MAINUKO MWANZO MWISHO.
 
Mkuu 3200m above sea level.
ni altitude ndogo sana.
Kama hapo ambapo hapahitaji hata mazoezi.
Kili, mlima mkubwa itakuwaje?
 
Ahsante sana, umenikumbusha mbali. Nilipanda huu mlima miaka mingi kidogo nyuma. Nimewakumbuka marafiki niliopanda nao pia guides na porters. It was beautiful moment ever.

Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
 
This is still one of the best stories I have come across in recent years,I still keep on repeating.
Heaven,you are a great story teller like January Makamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…