Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume mwenye kilo kuanzia 80 anaweza kumbeba Mwanamke mwenye uzito wowote![emoji1][emoji1]kama kilo zako za kuunga unga best!!!ntakufia mgongoni!!!
Kisasa kwa washua sasa hv
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana.Huo mlima siji panda tena hata nipewe pesa, ninakumbuka nlitaka kukata moto ukitoka Last water sasa pale panaitwa Saddle... pana hewa ya hovyo sana. Kufika jiwe la ukoyo ni balaa, dah Kibo palinitosha sana, kama una roho ndogo usijaribu kupanda mlima huo.
Hahahahahaha....Jerry acha hizo!jiandae aisee, ni kufa na kupona. Mimi siji panda tena haki ya nani..
HAPANAHIVI AMBAO HATUJAWAHI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO TUNARUHUSIWA KU-COMMENT HAPA?
Hata mi siwezi aisee inaonesha ni kazi kubwa sana japo utaenjoykatika kitu ambacho sijawaj fikiria na kupanda mlima wowote ule!maana mie ht kutmbea nusu km siwez..aku!
nakwabia ukweli, njia ya Marangu hizo sehem zipo
Hahahaha bora aiseee mi mvivu mnoahh kuna mambo borq yKupite tu my dear..mie mwisho nitaenda tena udizungwa waterfalls bas.nikaangalie yale.manyani nifurahi bas lakini kujibebesha mamizgo hayo mie nitarudi maiti kbs
Sembuse kupanda milima mara hewa ndogo ,kwakweli inabidi wapewe tuzo kina heaventupo wengi aisee...mie ht kuzurura kkoo huwa majanga..nakaaga kila sehem
Ni mlima wa Mungu sio wachagaMlima wa Wachaga huo! 'Viva Kilimanjaro '
Sembuse kupanda milima mara hewa ndogo ,kwakweli inabidi wapewe tuzo kina heaven
Sent using Jamii Forums mobile app
@Mama sabrina nicheck pm Nina ujumbe wako muhimu sanaSembuse kupanda milima mara hewa ndogo ,kwakweli inabidi wapewe tuzo kina heaven
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana kwa ushauri uliouropoka.Na shida yako kubwa ni ujuaji mwingi niliwahi kukuambia na hapa umethibitisha ,tour guide wanakuelekeza we unaleta mambo yako...hii inaonyesha namna gani we ni mrongo sana...tangu lini mgeni agombane na mwenyeji? Acha ujuaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuropoka wakati ni ukweli bwwewge weAhsante sana kwa ushauri uliouropoka.
Nimepanda siku uliyokuwa hedhi.
Naamini ipo milima unaweza kuipanda Mama Sabrina. Kuna maeneo upo vizuri nakuamini sana.[emoji1] [emoji1]