Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Hayuko mpaka leo mpaka leo.Ila katuachia kizazi chake
Kwa hiyo katuachia kizazi cha Abunuwas? Walah kitakuwa ndiyo kile cha Lumumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayuko mpaka leo mpaka leo.Ila katuachia kizazi chake
Hekaya za Abunuasi..
Part 4.
Abunuasi Aliingia Kwa Kinyozi Na Mtoto,
Akasema Anyolewe Nywele Na Ndevu Alipomaliza
Akasema Na Mtoto Naye Anyolewe,
Wakati Mtoto Ananyolewa Yeye Akaaga Anaenda
Kumnunulia Mtoto Juisi,
Masaa 3 Yakapita Bila Abunuasi Kutokea Kinyozi
Akamwambia Dogo "Vipi Baba Ako Amekusahau?"
Mtoto"Yule Sio Baba Angu Alinikuta Njiani Akaniambia
Tuingie Hapa Tunyolewe Bure."
Hii nitaiapply, mkuu Senator jr upo wapiHekaya za Abunuasi..
Part 4.
Abunuasi Aliingia Kwa Kinyozi Na Mtoto,
Akasema Anyolewe Nywele Na Ndevu Alipomaliza
Akasema Na Mtoto Naye Anyolewe,
Wakati Mtoto Ananyolewa Yeye Akaaga Anaenda
Kumnunulia Mtoto Juisi,
Masaa 3 Yakapita Bila Abunuasi Kutokea Kinyozi
Akamwambia Dogo "Vipi Baba Ako Amekusahau?"
Mtoto"Yule Sio Baba Angu Alinikuta Njiani Akaniambia
Tuingie Hapa Tunyolewe Bure."
Tafuta hicho kitabu usome hautajuta ni kizuri sana utakuwa unacheka tu.Jamani mi ckuwahi kuzisoma .ni nzuri mi huwa nasikia tuu hekaya za abunuwasi lakini cjawahi kuzisoma wala kusimuliwa
Yupo anakaa Kinondoni mkwajuni DarHahahaha abunuasi ni noma. Hivi yupo mpaka leo???