Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Huu ni mkusanyiko wasimulizi zangu ambazo nimewahi kuzileta humu na zile ambazo nitakuwa nazileta huko mbeleni.
Lengo la uzi huu ni kurahisidha ufuatiliaji wa simulizi zangu kwa wale wapenzi wa simulizi lakini pia kutokupoteza simulizi zangu ambazo nimewahi kuziandika humu.
Kumbuka humu nitakuwa nazileta zile za kweli tu (sio visa vya kutunga)
1. Mwanamke akikuhitaji ana code ngumu sana kuelewa.
Humu nilisimulia Kuhusu Mdada aliyejifanya ana mashetani ili apate nafasi ya kugongwa na mimi 🤣🤣
www.jamiiforums.com
2. Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho.
Humu nilimzungumzia mdada ambae alinifanya nimpende kupindukia, hata nilipoweza kumuacha hadi leo hii sijawahi kumpenda tena mwanamke, NDIO SIJAWAHI KUMPENDA TENA MWANAMKE.
www.jamiiforums.com
3. Risasi yangu ya mwisho.
😂😂😂 Humu kuna visa flani vya ungese ungese tu nikikumbuka nacheka mpaka basi, huu ujana una raha sana.
www.jamiiforums.com
4. Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe.
Dah huu mshangazi ambao nimeuongelea humu nusu uniuwe, alinifanyia jambo la kipuuzi sana.
www.jamiiforums.com
Yote kwa yote tufurahie simulizi huku tukijifunza (kama yapo yanayofundisha)
Kijana Masikini,
Tajiri Sina BAYA au Muimba SINGELI.
Lengo la uzi huu ni kurahisidha ufuatiliaji wa simulizi zangu kwa wale wapenzi wa simulizi lakini pia kutokupoteza simulizi zangu ambazo nimewahi kuziandika humu.
Kumbuka humu nitakuwa nazileta zile za kweli tu (sio visa vya kutunga)
1. Mwanamke akikuhitaji ana code ngumu sana kuelewa.
Humu nilisimulia Kuhusu Mdada aliyejifanya ana mashetani ili apate nafasi ya kugongwa na mimi 🤣🤣
Mwanamke akikuhitaji ana code ngumu sana kueleweka
Miaka michache nyuma tulianzisha kikundi cha sanaa ya uigizaji mtaani kwetu. Mimi ndio nilitoa hilo wazo na kuwashirikisha vijana wenzangu ambao niliona wanaweza kufanya sanaa ya maigizo. Nilitoa hilo wazo baada ya kuwa nimeacha kufanya mazoezi na kikundi cha MTWARA SUPER FILM, kikundi maarufu...
2. Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho.
Humu nilimzungumzia mdada ambae alinifanya nimpende kupindukia, hata nilipoweza kumuacha hadi leo hii sijawahi kumpenda tena mwanamke, NDIO SIJAWAHI KUMPENDA TENA MWANAMKE.
Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho
Hii ilikuwa 2015 Kipindi hicho nikiwa Kijana Masikini tu. Picha linaanza nikiwa na washkaji katika pool table majira ya usiku. hapo mtaa umechangamka sio kitoto unaambiwa, katika stori wana wawili ikawa wanasimuliana kuhusu dada mmoja tumwite LAIMA. Nitaficha baadhi ya maelezo kwa kuweka...
3. Risasi yangu ya mwisho.
😂😂😂 Humu kuna visa flani vya ungese ungese tu nikikumbuka nacheka mpaka basi, huu ujana una raha sana.
Risasi yangu ya mwisho
Tajiri hasalimii. Poleni na mihangaikoni ya mchana kutwa wakuu. KISA hiki hakihusiani na mapigano ya mitutu, lakini nimeyapitisha majina kadhaa kwenye ubongo wangu wakati nikifanya uchaguzi wa jina la kulioanisha na kisa hiki mwisho nikaishia kuchagua hili 'RISASI YANGU YA MWISHO' Kuna huu...
4. Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe.
Dah huu mshangazi ambao nimeuongelea humu nusu uniuwe, alinifanyia jambo la kipuuzi sana.
Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe
WAKUU KILE KISA CHA MSHANGAZI AMBACHO NILIWAAHIDI NDIO HIKI HAPA. Hiki kisa kinanikumbusha kipindi Mama yangu mzazi alipo gundua kuwa nimeanza kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi (kushenyenta) aliwahi kunikalisha chini na kuniambia, katika kufanya ujinga wangu wote niogope sana watu wa aina...
Yote kwa yote tufurahie simulizi huku tukijifunza (kama yapo yanayofundisha)
Kijana Masikini,
Tajiri Sina BAYA au Muimba SINGELI.