Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Mental caseTafuta daktari yoyote aliyekaribu na wewe akusaidie!
Anisaidie nini mkuu?Tafuta daktari yoyote aliyekaribu na wewe akusaidie!
nipo sana tu mkuu, sema toka uwe muimba singeli umepoa sana, rudi kwenye id yako ya tajiri sina baya kule tuliinjoy kinomaSmooth Criminal uliaga humu, ni kweli haupo tena au ilikuwa ni danganya Toto.
halafu mbona umeisahau MY FAMILY ?Smooth Criminal uliaga humu, ni kweli haupo tena au ilikuwa ni danganya Toto.
Ile ni ya kutunga mkuu hapa nitakuwa naweza visa vya kweli tu.halafu mbona umeisahau MY FAMILY ?
πππnipo sana tu mkuu, sema toka uwe muimba singeli umepoa sana, rudi kwenye id yako ya tajiri sina baya kule tuliinjoy kinoma
ππππππIle stori ya yule dada yake na shekh ndio ipi hapo ππ
πππ Subiri nitoke kwenye shoo.Nitumie myaTano ni unue bigijii niwe natafuna huku nasoma visa vyako.
πππ Hapana mkuu, hivi bado yupo mbona simuoni sikuhizi.Vipi Kuna story ya Marry huko?