Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
-
- #21
πππVp story za mizagamuano mwanzo mwenga zipo?View attachment 3450202
Mwana akitua hapo atavunja mti wake π
kuna uzi nimekuta kuna mtu ameku-ignore nikajisemea umeanza lini ubaya na watu? tunasubiri kwa hamu hiyo November tajiri. hilo la singeli mimi silitambuiπππ
Sawa mkuu, nitakuwa naweka visa vifupi vifupi humu kwa sababu sina muda wa kuandika sana sasa ila kuanzia Mwezi November nitarudi upya kama zamani
kwa maslahi mapana ya kumbukumbu ungeiweka tu ila ungetoa maelezo kuwa hiyo ni ya kutungaIle ni ya kutunga mkuu hapa nitakuwa naweza visa vya kweli tu.
πππ hii imetufundisha hakuna mtu ambae atapendwa ama kuchukiwa na wote.kuna uzi nimekuta kuna mtu ameku-ignore nikajisemea umeanza lini ubaya na watu? tunasubiri kwa hamu hiyo November tajiri. hilo la singeli mimi silitambui
Ni wazo zuri mkuu, nitafanya hivyo hata kesho.kwa maslahi mapana ya kumbukumbu ungeiweka tu ila ungetoa maelezo kuwa hiyo ni ya kutunga
Yupo studioMuimba SINGELI upo kiongozi
FUTA hiyo comment kaka yule mdada akija huku nimeisha ππππππAndaa maelezo yakueleweka vizuri π
Nipo kaka, umepotea sana au ulioa kimya kimya?Muimba SINGELI upo kiongozi