Siwezi kuvumilia nitalia ππ inabidi uwepo tuwe tunakusema kila tukikuona
π’π’π’πͺπͺπͺBahati mbaya yule mshangazi wa JF alinishawishi nikateleza ila nishamuacha tyr
Daah kwaherini bhana ndugu zanguπ’π’π’πͺπͺπͺ
[ pata shida umjue ndugu thabiti, kumjua ndugu si rahisi - DIZASTAVINA]
πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺ
Basi inabidi uhamie man u, kama adhabu yako πSiwezi kuvumilia nitalia π
Kwenda Man u ni adhabu kubwa sana nitakfa kwa presha πBasi inabidi uhamie man u, kama adhabu yako π