Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona hili ni dongo kwa vile vyama pinzani mkuu.Nisameheni,
Nilitumia mda mwingi kumrudisha katika hali yake na pia ukizingatia zimetokea misiba miwili kwa mpgo,
hata mimi nilikuwa shocked kwa kweli,
so nilishindwa kujigawa maana si kwa kudekewa kule[emoji23] [emoji23] [emoji23],
Hongera kwa kuwa na bibie bega kwa bega,bila shaka umejizolea asilimia zote zilizokuwa zinagombewa na wapinzani wako [emoji12]
Poleni sana.