Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,464
Mkenya mkenya gani huyo?!Alafu we tangu lini mi nikawa mtu wa kuiga?!Kama mpaka leo bado hujanijua vizuri nadhani muda wa kwenda kanisani bado.Tutaongea baadae...umeniboa sana kunifananisha na copy n paste wako uliozoea!!
Alafu hii tabia ya kukasirika haraka inabidi uache-how many times do we have to talk about this?. Yule mkenya GF wa Kevin umemsahau jinsi alivyomwagia Kevin wine mbele za watu kwenye harusi ya Abuu na Zulfa? Unatafuta sababu tu ili leo usiku usinipe haki yangu.