Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Babygirl nimeweka uhusiano wetu wazi 2 everyone on purpose - it is my trick to ruin any chances za mimi au wewe kuwa na mtu mwengine yeyote in JF (kama tulivyofanya Facebook). Dunia ya sasa lazima uwe na techniques za kulinda uhusiano vishawishi vingi mno. Siwezi kukuacha coz you got the brain, the beauty and the booty ndio maana siku zingine huwa tunaongea mpaka saa nane usiku - wewe hujui mwenzio huwa na make love 2 your mind. sio lazima kila siku iwe physical.

Bado nakumbuka siku ya kwanza uliyonionjesha penzi lako. Tulikuwa tumeenda out tukarudi tukawa tuko sebuleni tuna mess around. Nikakuambia baby may i get some sugar 2nite. eti ukaniambia i dont have sugar. i have sweet n low - which is healthy 4 your body and your mind. hahahahaha mtoto unamambo wewe. yani sikumalizi!
 
Bonge la hadithi hili. Nitalisoma mwanzo hadi mwisho. Hongera Lizzy kwa creative mind yako. Uko juu kama jua.
 
Babygirl nimeweka uhusiano wetu wazi 2 everyone on purpose - it is my trick to ruin any chances za mimi au wewe kuwa na mtu mwengine yeyote in JF (kama tulivyofanya Facebook). Dunia ya sasa lazima uwe na techniques za kulinda uhusiano vishawishi vingi mno. Siwezi kukuacha coz you got the brain, the beauty and the booty ndio maana siku zingine huwa tunaongea mpaka saa nane usiku - wewe hujui mwenzio huwa na make love 2 your mind. sio lazima kila siku iwe physical.

Bado nakumbuka siku ya kwanza uliyonionjesha penzi lako. Tulikuwa tumeenda out tukarudi tukawa tuko sebuleni tuna mess around. Nikakuambia baby may i get some sugar 2nite. eti ukaniambia i dont have sugar. i have sweet n low - which is healthy 4 your body and your mind. hahahahaha mtoto unamambo wewe. yani sikumalizi!
So that‘s how you roll ehhh?!You are a baaad bwoi but I love you still.
Alafu bwana sio kila kitu unawaambia bwana...mengine ni yetu tu.
 
wifi,kumbe ww ni mtaji eeh? inabidi braza akukatie insurance ya $ 1 M!
 
So that‘s how you roll ehhh?!You are a baaad bwoi but I love you still.
Alafu bwana sio kila kitu unawaambia bwana...mengine ni yetu tu.

That is how WE ROLL BABY! I am bad just like you. I am just like you - ndio maana tukiwa chumbani your mouth clean but you talk dirty.
Haya mama ngoja nisiseme yote i am going to save the rest 4 just the 2 of us! Nenda youtube Kasilize wimbo wa Beyonce wa "be with you" na ule wa "Flaws and all" alafu utanipa feedback usiku!
 
Mmmh will do...ngoja nikaazime spika kwa jirani!!!
 
wifi imetulia yaani. manake hapa nawaza kilichokupeleka hosp hapo. mawazo, sikawii kuota hii sasa jamani. afu umwambie kaka a-slow down manake asije akaamsha waliolala, mchana huu wanga wengi.
Wifi umependa lakini?!Au unanichora tu huku ukimfinya kaka yako...?!
 
wifi imetulia yaani. manake hapa nawaza kilichokupeleka hosp hapo. mawazo, sikawii kuota hii sasa jamani. afu umwambie kaka a-slow down manake asije akaamsha waliolala, mchana huu wanga wengi.
Hahahaha usiwaze sana wifi...subiri uambiwe!!

Thanks wifi...
 
Mwalimu akaanza kuongea na mama, akamweleza jina la hospital na baada ya baba kumwachia samaki jirani yake na mama kukatiza shughuli zake walikuja kuniona. Mwalimu akawaeleza nilichokuwa nimemwambia mama kuwa nilianguka hospitali na nikaruhusiwa nikaondoka na wazazi wangu. Mwalimu hakupata muda wa kuniona tena.
TAMATI.

Story ndefu na huisi kuendelea kuisoma. Good job.
 
Lizzy hongera sana wka hiki kipaji mamito. Yaani Big Up laiti ungekua nipendavyo hadithi!
 
Jamani kumbe imefika sura ya nne? mbona sikuwa na taarifa mie, haya nashukuru sana napenda mwendelezo, please let it be good ending, naanza kumfeel mhusika
 
Shantel habari utapataje kama hujafika jamvini bibie?!

Kuhusu mwisho usiufikirie sana...jiandae kwa lolote!!!
 
Back
Top Bottom