Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,464
Babygirl nimeweka uhusiano wetu wazi 2 everyone on purpose - it is my trick to ruin any chances za mimi au wewe kuwa na mtu mwengine yeyote in JF (kama tulivyofanya Facebook). Dunia ya sasa lazima uwe na techniques za kulinda uhusiano vishawishi vingi mno. Siwezi kukuacha coz you got the brain, the beauty and the booty ndio maana siku zingine huwa tunaongea mpaka saa nane usiku - wewe hujui mwenzio huwa na make love 2 your mind. sio lazima kila siku iwe physical.
Bado nakumbuka siku ya kwanza uliyonionjesha penzi lako. Tulikuwa tumeenda out tukarudi tukawa tuko sebuleni tuna mess around. Nikakuambia baby may i get some sugar 2nite. eti ukaniambia i dont have sugar. i have sweet n low - which is healthy 4 your body and your mind. hahahahaha mtoto unamambo wewe. yani sikumalizi!