Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Wewe nakuamini nothing can take you off track. You got skills. Sasa hivi nafikiria kukuwekea insurance in case anything happen to your hands ukashindwa kuandika basi tulipwe. Si unajua - kama nilivyowekea sura yako insurance hiyo mikono nayo itabidi niwekee Bima. LOL

Hahahahaha!!
Ngwana bana...thanks for making my umm...night!!!Endelea kunichangamsha nimmalizie Zawadi wa leo!!
 
hahahahaha! Making you smile is all that i ever want and ever need. my happiness is secondary-it comes from making you happy. What i like the most is your mind. Your mind is an investment that is worth more than money. An investment that mature with time like stocks and bonds! LOL
 
nilikuwa nimelala ila nikakumbuka kuwa kuna kitu kimepungua... ZAWADI... Thanx for the gift lizzy!
 
hahahahaha! Making you smile is all that i ever want and ever need. my happiness is secondary-it comes from making you happy. What i like the most is your mind. Your mind is an investment that is worth more than money. An investment that mature with time like stocks and bonds! LOL

Hahaha...Ngwana usinifanye niache kuandika hapa na kuanza kurudia rudia kusoma maneno yako!!

Umebarikiwa kuwa na maneno mazuri...asante sana!!
 
Maneno mazuri kama wewe. i am just like you. you are just like me. mimi na wewe mmmmhh! we go together just like hands and gloves. hahahahaha!
 
Hahahahaha!!!
Wow...from a sweetheart to a comedian?!What‘s next.....?!
 
Hahahha...and what is that you wanna do in church?!Preach?!

How can i preach wakati wewe unakuja na bridesmaid 4 na mimi nakuja na best man 4. Alafu rafiki zako inabidi uache kuwasikiliza. najua wanakuambia he is a player, he dont wifey em. Uplayer niliacha the day i saw you 4 the first time kama jinsi ucomedian wako ulivyo go out the door when you saw me 4 the first time. LOL

i still remember the fist day we saw each other kwenye ile birthday party ya Lulu. ulikuwa kila ukipita mbele yangu unajikwaa, mara urudishe nywele nyuma. Nikajua - she got it bad. nikaku sweep off your feet. within a month facebook yako ikasema -Lizzy changed her relationship status. hahahaha!
 
Oooh, ona sasa nimechelewa kwenda shop, zawadi kaniteka sana hapa.... thanks lizzy
 
How can i preach wakati wewe unakuja na bridesmaid 4 na mimi nakuja na best man 4. Alafu rafiki zako inabidi uache kuwasikiliza. najua wanakuambia he is a player, he dont wifey em. Uplayer niliacha the day i saw you 4 the first time kama jinsi ucomedian wako ulivyo go out the door when you saw me 4 the first time. LOL

i still remember the fist day we saw each other kwenye ile birthday party ya Lulu. ulikuwa kila ukipita mbele yangu unajikwaa, mara urudishe nywele nyuma. Nikajua - she got it bad. nikaku sweep off your feet. within a month facebook yako ikasema -Lizzy changed her relationship status. hahahaha!

Hahahaha...

Come on...yani wewe unadhani nilijakwaa kwaajili yako?! I was tired...the place was crowded and I was in heels..what else did you expect?!And FYI that other trick wasn‘t meant for you but you did notice me so I gotta give you credit for that!!FB status nilibadilisha baada ya wewe kuandika andika sana kwenye wall yangu mpaka nikaanza kuulizwa maswali na watu wangu...nia ilikua kukujulisha i‘m not interested ila mjamaa ukakomaa tu!!

Now I won‘t lie and say you ain‘t got game couse you got me gone bwoi.Kwahiyo church ntakuwepo...ila ukimkodolea mtu mwingine tu macho siku huyo nakuogesha na wine ukumbini.
 
Duuh yani ile style ya yule dada Mkenya ya kummwagie BF wake wine mbele za watu kila wanapogambana sasa unataka kuileta kwetu? wooow wasichana kwakuigana.

Sasa kama ulikuwa hujikwaikwai kwa ajili yangu mbona nilipokuita ulikuja haraka tukaongea mpaka tukahamia kwenye gari yangu. Ukajidai miguu inakuuma ukavua viatu ili tu nione hiyo miguu ilivyomizuri. Mtoto mchokozi sana wewe. Ila from our first conversation nilijua unampenda sana mama ako nikajua the way to Lizzy heart is thru her mother ndio maana nilikuwa najipendekeza kwa maza ako kishenzi. Na kweli tricky yangu ikazaa matunda. hahahaah
 
Mkenya mkenya gani huyo?!Alafu we tangu lini mi nikawa mtu wa kuiga?!Kama mpaka leo bado hujanijua vizuri nadhani muda wa kwenda kanisani bado.Tutaongea baadae...umeniboa sana kunifananisha na copy n paste wako uliozoea!!
 
Back
Top Bottom