Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Mkenya mkenya gani huyo?!Alafu we tangu lini mi nikawa mtu wa kuiga?!Kama mpaka leo bado hujanijua vizuri nadhani muda wa kwenda kanisani bado.Tutaongea baadae...umeniboa sana kunifananisha na copy n paste wako uliozoea!!

Alafu hii tabia ya kukasirika haraka inabidi uache-how many times do we have to talk about this?. Yule mkenya GF wa Kevin umemsahau jinsi alivyomwagia Kevin wine mbele za watu kwenye harusi ya Abuu na Zulfa? Unatafuta sababu tu ili leo usiku usinipe haki yangu.
 
Arrrrrrg...umeshaniboa.Alafu nikijisikia kukasirika na kasirika...usinipangie chakufanya.Kama ni haki katafute mahakamani.
 
Arrrrrrg...umeshaniboa.Alafu nikijisikia kukasirika na kasirika...usinipangie chakufanya.Kama ni haki katafute mahakamani.

hahhahaha alafu we bwana unapenda kunionea sana una moods kama mama ako mdogo Betty. basi bwana tutaongea kesho hasira zako zikiisha!
 
hahhahaha alafu we bwana unapenda kunionea sana una moods kama mama ako mdogo Betty. basi bwana tutaongea kesho hasira zako zikiisha!

Kumbe nakufurahisha ehhh?!

Eti tutaongea kesho hasira zikiisha!!Unategemea zitajimaliza zenyewe!?Kama zilijileta zenyewe haya subiria hiyo kesho!!
 
Kumbe nakufurahisha ehhh?!

Eti tutaongea kesho hasira zikiisha!!Unategemea zitajimaliza zenyewe!?Kama zilijileta zenyewe haya subiria hiyo kesho!!

ooohh sikujua kuwa ni jukumu langu kuzipunguza hizo hasira wooow now you are teaching me how to be naughty boy - kumbe ndio maana unapenda ule wimbo wa common rude boy boy can you get it up! take it take it luv me luve me! Hahahaha yaani penzi lako ni kama the entire universe. it will take me my entire life to explore your luv na wala sitamaliza.
 
Mhuuu!!Mhuuu!!Mhuu!!
Vizuri umeanza kujua majukumu yako.
 
With you everyday is a new day. Yani kila mwaka naonaga kama niko na demu mpya. sijui ulijifunza wapi haya mapenzi shatashata. maza angu anajidai hakupendi tatizo siwezi kumueleza mambo ya chumbani yanayonifanya nikufie na kuchanganyikiwa juu yako. kwako sisikii la kuambiwa!
 
Hahahahah.....nimefurahi sasa hivi maana umeanza kujirudi!!Kwahiyo hata kosa ulilofanya hapo juu nilipoandika kwa herufi kubwa nakusamehe.Mwambie mazee hana ujanja maana mimi ndio mkwe...

Check out sehemu ya nne and tell me whatsup.....!
 
Hahahahaha!!
Ngwana bana...thanks for making my umm...night!!!Endelea kunichangamsha nimmalizie Zawadi wa leo!!

Hahaha...Ngwana usinifanye niache kuandika hapa na kuanza kurudia rudia kusoma maneno yako!!

Umebarikiwa kuwa na maneno mazuri...asante sana!!

Maneno mazuri kama wewe. i am just like you. you are just like me. mimi na wewe mmmmhh! we go together just like hands and gloves. hahahahaha!

Hahahahaha!!!
Wow...from a sweetheart to a comedian?!What‘s next.....?!

from a sweetheart to a sweetheart. Whats next? CHURCH.............

Hahahha...and what is that you wanna do in church?!Preach?!

Mkenya mkenya gani huyo?!Alafu we tangu lini mi nikawa mtu wa kuiga?!Kama mpaka leo bado hujanijua vizuri nadhani muda wa kwenda kanisani bado.Tutaongea baadae...umeniboa sana kunifananisha na copy n paste wako uliozoea!!

Arrrrrrg...umeshaniboa.Alafu nikijisikia kukasirika na kasirika...usinipangie chakufanya.Kama ni haki katafute mahakamani.

hahhahaha alafu we bwana unapenda kunionea sana una moods kama mama ako mdogo Betty. basi bwana tutaongea kesho hasira zako zikiisha!

Kumbe nakufurahisha ehhh?!

Eti tutaongea kesho hasira zikiisha!!Unategemea zitajimaliza zenyewe!?Kama zilijileta zenyewe haya subiria hiyo kesho!!

Mhuuu!!Mhuuu!!Mhuu!!
Vizuri umeanza kujua majukumu yako.

Hahahahah.....nimefurahi sasa hivi maana umeanza kujirudi!!Kwahiyo hata kosa ulilofanya hapo juu nilipoandika kwa herufi kubwa nakusamehe.Mwambie mazee hana ujanja maana mimi ndio mkwe...

Check out sehemu ya nne and tell me whatsup.....!

Khaaaa! Zawadi na Mwalim Samea bana!
 
Sipitali gani hiyo????
na mimi niende aniattend huyo Dr,
You described her as if i was looking at her!
Thanks
Neno kwa neno nasubiri 5
 
Hahahahah.....nimefurahi sasa hivi maana umeanza kujirudi!!Kwahiyo hata kosa ulilofanya hapo juu nilipoandika kwa herufi kubwa nakusamehe.Mwambie mazee hana ujanja maana mimi ndio mkwe...

Check out sehemu ya nne and tell me whatsup.....!

Daaah ndio nimemaliza kusoma sehemu ya nne. niliisoma mara mbili maana nikisoma hiki kisa huwa najisikia tuko wote sebuleni, dim lights, BIG PAPA niko kifua wazi, mama umevaa t-shirt only. CD ya Adina Howard inaimba kwa mbaali si unajua sisi - we are old skull.

Sehemu ya nne nayo ni master piece. hii ngoma tunaweza kuja kuifanya movie. MGM Presents in association with 20th Century Fox. Yaaani mtoto mind yako iko very entertaining. Unaikosha roho yangu.
 
Sipitali gani hiyo???

na mimi niende aniattend huyo Dr, <br />
You described her as if i was looking at her!
Thanks
Neno kwa neno nasubiri 5

Elia ningekwambia ila sidhani kama mwenyewe angependa hosp ijae watu wanaotaka kumuona tu badala ya wanahitaji tiba.
 
Goodmorning/afternoon Ngwana.You know what bwoi... you are ruining your chances of ever finding another girl in here if i ever drop you couse they won‘t stand the comparison.Lolzz...I kid...I kid!!

Nwy i‘m glad you guys like sehemu ya nne aswell...nasubiria siku nikimaliza niwape nafasi ya kuichambua maana sasa hivi hata hamkosoi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…