Wewe nakuamini nothing can take you off track. You got skills. Sasa hivi nafikiria kukuwekea insurance in case anything happen to your hands ukashindwa kuandika basi tulipwe. Si unajua - kama nilivyowekea sura yako insurance hiyo mikono nayo itabidi niwekee Bima. LOL
hahahahaha! Making you smile is all that i ever want and ever need. my happiness is secondary-it comes from making you happy. What i like the most is your mind. Your mind is an investment that is worth more than money. An investment that mature with time like stocks and bonds! LOL
Hahaha...Ngwana usinifanye niache kuandika hapa na kuanza kurudia rudia kusoma maneno yako!!
Umebarikiwa kuwa na maneno mazuri...asante sana!!
Hahahahaha!!!
Wow...from a sweetheart to a comedian?!What‘s next.....?!
<br />LK kumbe na wewe unapenda Zawadi ehhh?!Sasa yangu iko wapi?!
Zawadi utapata uje kujipikilisha kwanguLK kumbe na wewe unapenda Zawadi ehhh?!Sasa yangu iko wapi?!
Hahahha...and what is that you wanna do in church?!Preach?!
How can i preach wakati wewe unakuja na bridesmaid 4 na mimi nakuja na best man 4. Alafu rafiki zako inabidi uache kuwasikiliza. najua wanakuambia he is a player, he dont wifey em. Uplayer niliacha the day i saw you 4 the first time kama jinsi ucomedian wako ulivyo go out the door when you saw me 4 the first time. LOL
i still remember the fist day we saw each other kwenye ile birthday party ya Lulu. ulikuwa kila ukipita mbele yangu unajikwaa, mara urudishe nywele nyuma. Nikajua - she got it bad. nikaku sweep off your feet. within a month facebook yako ikasema -Lizzy changed her relationship status. hahahaha!
Halafu kijumba changu kiko isolated upigekelele uimbe uhuru ni wakoHahahahaha....Elia embu punguza uchokozi.
Duuh yani ile style ya yule dada Mkenya ya kummwagie BF wake wine mbele za watu kila wanapogambana sasa unataka kuileta kwetu? wooow wasichana kwakuigana.
Sasa kama ulikuwa hujikwaikwai kwa ajili yangu mbona nilipokuita ulikuja haraka tukaongea mpaka tukahamia kwenye gari yangu. Ukajidai miguu inakuuma ukavua viatu ili tu nione hiyo miguu ilivyomizuri. Mtoto mchokozi sana wewe. Ila from our first conversation nilijua unampenda sana mama ako nikajua the way to Lizzy heart is thru her mother ndio maana nilikuwa najipendekeza kwa maza ako kishenzi. Na kweli tricky yangu ikazaa matunda. hahahaah