Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

ina kila dalili za kuwa true story, hata kama ni ubunifu basi kuna mamia ya wanafunzi inawahusu... Big up!!
 
.......Nilikwambia subiri watoto walale nitakwambia ukasema leo unalala kwa fomular ya kawaida, haya mbona bado tupo wote?

Kuna mtu namsubiria nimfungulie mlango!!

Enhe nieleze...
 
Great job Lizzy, ushakuwa tishio kwa shigongo mpaka hapo hakupati hata, part 3 please lini tena nachoka kusubiri
 
Great job Lizzy, ushakuwa tishio kwa shigongo mpaka hapo hakupati hata, part 3 please lini tena nachoka kusubiri

Hehehe....OaO mbona unanipaisha hivyo mtu wangu??!!

part 3 kesho Mungu akinijalia nguvu na hali nzuri!
 
Kuna mtu namsubiria nimfungulie mlango!!

Enhe nieleze...
Nimemuona Mchungaji kapita hapa na Bible yake, ngoja nimuangalie kwanza kama hayupo hapa,.......
Maana ni very strange leo kutwa nzima Mchungaji hajaonekana mitaa hii nashangaa anaibuka saa hizi.
Sijajuwa leo ni wapi kuna mkesha wa maombi.
 
Nimepata motomoto kwamba alikua kwenye mazishi ya MS...eti kazikwa baharini!!

Alafu kashaenda kulala!!!
 
Back
Top Bottom