Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

daaah thanx Lizy ww ni mkali bibie, ukiimaliza hii nami ntakupa Zawadi kama lilivyo jina la hadithi hii.
 
Hee kumbe Lizzy ni mtunzi pia? Ka hadithi kazuri kweli teh! Hii story weka ktk kajitabu best, watoto huko sekondari wanawezafundishiwa drama. We mkali, Much respect!
 
Thanks Gagu...ushauri mzuri ngoja ntaufanyia kazi.
 
Kusema kweli mimi huwa sipati muda kusoma hadithi za kisani sani, lakini hii ya zawadi imenirudisha nyuma, nimeisoma yote na kujiunga na foleni ya kusubiria part 5.

Pia nimewakumbuka kina Faraji Husein Hassan Katalambula, Aristablus Elvis Musiba, Mohamed Said Abdulah, Shaffi Adam Shaffi, John Rutayisingwa, Ben Mtobwa, Eric Shigongo etc.

Lizzy, hongera sana, kipaji unacho na wote hao walianza hivyo, you never know tutakuja kuwapata kina Danielle Still wetu, Jeffrey Archer, Sidney Sheldon, Robert Ladlum au hata Fredrick Forth. Kama hata mbuyu ulianza kama mchicha, just go Lizzy go!.
 
Nice One Lizzy Great Story... I knew you had it in you....
Hongera sana ila usiishie hapa jaribu hata kuipeleka kwenye magazeti ili iwe serialized au unaweza ukaiweka kwenye pdf na kuiuza online (translate it kwenye lugha tofauti) siku hizi publishing unaweza ukafanya print on demand yaani wateja wakitaka copies ndio watu wanakufanyia printing (Self Publishing, Book Printing & eBook Publishing | Lulu.com) hata kama publishing ukiona ni kazi unaweza ukatengeneza audio book...

In short the sky's is the limit......

Again Hongera and keep it up and dont ever let anyone pull you down...(Hata Harry Potter Author J. K Rowling alikuwa rejected na publishers 8 times lakini baadae alivyotoa vitabu vyake..., the rest is history na everyone knows about her)..

Don't Stop if you feel like writing write and never stop you never know you might be sitting on a Gold Mine..... (na kama unataka kwenda the publishing route usisahau translation kwenye lugha nyingine especially english thats where people who reads a lot and have got fat pockets are..)
 
Kusema kweli mimi huwa sipati muda kusoma hadithi za kisani sani, lakini hii ya zawadi imenirudisha nyuma, nimeisoma yote na kujiunga na foleni ya kusubiria part 5.

Pia nimewakumbuka kina Faraji Husein Hassan Katalambula, Aristablus Elvis Musiba, Mohamed Said Abdulah, Shaffi Adam Shaffi, John Rutayisingwa, Ben Mtobwa, Eric Shigongo etc.

Lizzy, hongera sana, kipaji unacho na wote hao walianza hivyo, you never know tutakuja kuwapata kina Danielle Still wetu, Jeffrey Archer, Sidney Sheldon, Robert Ladlum au hata Fredrick Forth. Kama hata mbuyu ulianza kama mchicha, just go Lizzy go!.

Asante sana Pasco...ngoja nijitahidi labda kweli naweza fika mbali.
 
Nice One Lizzy Great Story... I knew you had it in you....
Hongera sana ila usiishie hapa jaribu hata kuipeleka kwenye magazeti ili iwe serialized au unaweza ukaiweka kwenye pdf na kuiuza online (translate it kwenye lugha tofauti) siku hizi publishing unaweza ukafanya print on demand yaani wateja wakitaka copies ndio watu wanakufanyia printing (<a href="http://www.lulu.com/" target="_blank">Self Publishing, Book Printing &amp; eBook Publishing | Lulu.com</a>) hata kama publishing ukiona ni kazi unaweza ukatengeneza audio book...

In short the sky's is the limit......

Again Hongera and keep it up and dont ever let anyone pull you down...(Hata Harry Potter Author J. K Rowling alikuwa rejected na publishers 8 times lakini baadae alivyotoa vitabu vyake..., the rest is history na everyone knows about her)..

Don't Stop if you feel like writing write and never stop you never know you might be sitting on a Gold Mine..... (na kama unataka kwenda the publishing route usisahau translation kwenye lugha nyingine especially english thats where people who reads a lot and have got fat pockets are..)

VoR....thank you..thank you and uuuuh THANK YOU!!!

Ntachukua yote uliyosema niangalie namna ya kuyafanyia kazi!Thanks again!!
 
Jamani tuambiwe basi part zingine zitatoka lini, make hamu ya kumalizia inazidi kila kukicha.
 
Kanigi kua na subira..

WoS asante...ukipata nafasi malizia alafu unijulishe waionaje!!
 
Mashaalaah Lizzy nimesoma lakini ikawa kama nakuona kwa hisia Zawadi jinalako la utoton. nimeipenda kazmwendo umalize na kichapishe
 
Asante Kasopa...haahaha eti jina langu la utotoni.Nafurahi kusikia kwamba umepeta mpaka picha!!
 
Habari ndohiyo halafu umenikumbusha kweli mazingira ya shuleni darasani kwangu waschana walikuwa wengi kuliko wanaume nawalinipenda kwa upole wangu na nilikuwa na nakwenda na shilingi moja na senti hamsini niliyo ikwapua home nawatwanga vitumbua kapu zima enzi za mwalim bwana ilikuwa tamu sana

Back
Top Bottom