Simuungi mkono RC Dar katika hili la kukerwa na uwepo wa maeneo mengi Showrooms

Simuungi mkono RC Dar katika hili la kukerwa na uwepo wa maeneo mengi Showrooms

Naona majambazi yenye vi show room uchwara vya magari used from Mogadishu somalia yamevamia uzi kwa kasi ya kimbunga,***** zenu nyie ndio mnatuchafulia miji kwa kutuletea mi screpa inayofuka moshi eti magari,na ndio maana barabarani screpa ni nyingi kuliko gari " Tz is a dumping place" of all shit. RC uchwara azuie tu,kwa hili namuunga mkono japo yeye ana roll kwenye V8
Ingekuwa vyema ungelishauri bunge lirekebishe sheria ili magari yanayotoa moshi yasiingizwe nchini. RC kuzuia ni kuzua taharuki na huenda ikaleta shida kisheria. Au hujui kuwa serikali bado inalipa fidia watu tangu awamu ya kwanza kwa maamuzi ya kisiasa kama ya RC Dar?
 
Hakuna kosa lolote kisheria mtu kuwa na Yard ya magari kama kafuata utaratibu. Hizi akili za Chalamila ni za kurudisha nyuma maendeleo.

Kusema litafutwe eneo la kujengea yards ni kauli ya kisiasa inayopaswa kupuuzwa. Watu washawekeza na wanalipa kodi halafu uwatoe tena sehemu walipo huoni kuwa ni kuhujumu maisha yao na ya taifa kwa ujumla? Tafadhali ndugu RC fanya majukumu yako mengine.

Jiji la Dar halina hata smoking zones halafu unapoteza muda na watu wanaofanya biashara zao kihalali. Jiji la Dar hata vyoo na mabafu ya public ni changamoto kubwa ila RC yuko bize na mambo yasiyo na tija.
===============
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, ameeleza kukerwa na uwepo wa maeneo mengi ya kuuza magari (Showrooms) katika kila kona na vichochoro vya Dar es salaam.

Chalamila amesema hayo leo jijini Dar es salaam na kuongeza kwa kuwaagiza Wakuu wa Wilaya kudhibiti showrooms hizo, kwamba kuna haja ya kuwa na eneo maalum litakalokuwa na showrooms tu (mji wa showrooms).

“Moja ya mambo nilipanga kushauri ni uwepo wa Bandari kavu maeneo mbalimbali ya Dar es salaam, na uwingi wa showrooms, sasa showrooms hivi kila mahali zinaota mpaka nina ziara, nakwenda TRA nataka nikaulize kuna jambo gani kubwa?” amesema RC Chalamila.

RC ameongeza pia kuwa “Tunataka kama showrooms za magari ziwe mahali fulani, haiwezekani kila uchochoro kuna showroom ya magari, halafu usiku unakutana na magari hayana plate number yanatembea huko mtaani hayaeleweki, unakutana na watu wanakimbiza magari hii barabara ya kuelekea Masaki mpaka unajiuliza mle ndani ni kioski cha bangi au wanauza kitu gani?”.

View attachment 3402289

Chanzo: Millard Ayo
Johannesburg na Pretoria Yes Kuna mtaa mmoja tu wenye show rooms za kuuza used cars.yupo sawa.
 
Acha wauze, siku hizi gari sio ishu tena. Hizo ndio ajira lazima ziwe random...kwani wananchi wanaishi sehemu moja....si wametawanyika. Watakuja kutuambia hayaruhusiwi maduka mitaani...turundikane mahali pamoja kama tupo kwenye maonesho
Anataka kufurahisha macho yake
 
Back
Top Bottom